Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

Mimi kilichonishangaza waziri kuipigia promo kampuni ya Rostam(TAIFA) huku akizitenga kampuni zingine shindani.

NB:Kanda ya ziwa acheni ukabila hauna afya kwa taifa letu.
Sio kanda yote ni wafuasi wachache wa RIP JPM.
 
Mleta mada... Acha kuleta siasa za ukanda... zungumzia jambo kwa masilahi mapana ya nchi.
 
NEC hii ya CCM hakuna namna mtakubali tu
 
Tutengeneze mifumo imara na siyo mtu imara
 
Sorry kukwambia mkuu wa familia anatoka kwenye jamii yoyote, si huko tu. Na huyu mhe JPM ( Mungu amrehemu) aliondoka kwa matatizo ya kibinadamu tu.

Na si kwamba kanda ya ziwa ndio wenye maamuzi nchi hii. Maamuzi ni ya watanzania wote. Hakuna kabila special, hakuna kanda special
 

Kanda ya ziwa
Kwenye Kanda ya Ziwa iondoe Mara na kagera kidogo, huko kwingine ni Wana CCM huwaambii kitu
 
Ukanda.. Ukanda...... Ukanda...., Awamu ya tano imezalisha ukabila na ukanda kuliko awamu zote zilizotawala Tanzania. Na ingetokea hii awamu ikamaliza muda wa miaka kumi, basi hali ingekuwa mbaya kuliko! Kuna mazuri yaliyofanyika lakn ukanda, ukabila na selfishness vilizidi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kanda ya ziwa hamna meno. Mpo kama hampo
Hawana meno? Are you a really serious chap or you are just making a burst of laughter to extend your life span?

Uliza Mwalimu Nyerere alifanywa nini uwanja wa Nyamagana miaka ya sitini................wale sio washamba wanazingatia sana kujali ya kwao kwanza. Uliza ni kwanini Waarabu walipotaka kufanya makazi hapo Kayenze walifanywaje kisha wakatimkia Nzega na Tabora. Uliza ni kwanini ni jiji pekee lililojitanua bila msaada wa serikali kama walivyowezeshwa Dar, Arusha na Dodoma lakini ndio kinara wa kanda hiyo mpaka leo. Baada ya uhuru hadi miaka ya themanini Tanga ndio ilikuwa inaifuata Dar kwa manendeleo lakini baada ya wana siasa kuihujumu miundombinu yake ya uchumi kama viwanda na usafiri wa treni ndio ikafa hadi leo ni bora hata Mtwara ndio inayonyemelea kwa sasa injapokuwa nayo imewezeshwa kutengenezewa mazingira ya kiuchumi kupitia gesi, korosho na kiwanda cha simenti.

Ushamba mnaofikiri kwa hao watu kwa kuwa na athari kwenye lugha ya Kiswahili sio kigezo cha kuendelea kuwaita Washamba yaani (pumpkin).Ni wakimya lakini wana maamuzi yasiyotetereka.
 
Wewe nguruwe pori Ben Sanane ni nani kila leo unamzungumzia? Watanzania wangapi wanauliwa na kuuana kila leo iwe wao kwa wao au majambazi? Uchagadema ndo tatizo lako huwezi kuyaona wengine unaropoka daily kuhusu Ben!

Binadamu bwana, unamwita mwenzio nguruwe pori kiss kahoji kuhusu Ben saa nane?. Acha hizo.
 
Duh ! Hatar sn
 
Ukanda ulijizasha wenyewe kwa sababu ya wanasiasa kudai Wasukuma, Wanyakyusa, Wachagga na Wahaya wasipewe nafasi ya urais hata uwaziri mkuu kitu ambacho kilitengeneza hasira isiyo na mfano na haitaisha mpaka wale wanaojidai wana hati miliki ya kuongoza nchi ya Tanzania kwamba ni wao tu na familia zao au marafiki zao hilo halipo. This politicizing propaganda should immediately stop; msiwabague jamii zingine, mbona wahadzabe wako kimya hamuwashambulii kisa kuna mtu alijitolea kuwasaidia watu waliokandamizwa na kunyimwa haki zao kwa miaka kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…