round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Huko kuna nafuu hasa Dodoma, ila kwa Tabora umenenaHebu fika na singida,dodoma na tabora halafu uje tena
We jamaa!!! Yaani mikoa ya dodoma na singida inaunafuu kushinda hiyo mikoa ya kanda ya ziwa?Huko kuna nafuu hasa Dodoma, ila kwa Tabora umenena
Hapa ni JF, uwe unaenda na takwimu sio maneno makavu. Sasa anzia hapa hoja yakoKanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma,
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Mkuu hiyo Dodoma ina unafuu. Nenda mkoa kama Mara ukajionee.We jamaa!!! Yaani mikoa ya dodoma na singida inaunafuu kushinda hiyo mikoa ya kanda ya ziwa?
Jamaa,unaijua vzr kanda ya kati au umeamua tu kuanzisha topic?Mkuu hiyo Dodoma ina unafuu. Nenda mkoa kama Mara ukajionee.
Hizo tathmini hazina ukamilifuHapa ni JF, uwe unaenda na takwimu sio maneno makavu. Sasa anzia hapa hoja yako
View attachment 3304297
Weka takwimu zenye ukamilifu, sio maneno. Takwimu hipingwa kwa takwimuHizo tathmini hazina ukamilifu
Mkoa kama Rukwa hauna rasilimali nyingi lakini angalau kuna miradi na maendeleo kwenye miji
Ukienda mikoa ya kanda ya ziwa maendeleo yanapimwa kwenye rasilimali mfano Dhahabu na Almasi lakini wanufaika ni makampuni ya nje
Na wewe unaijua vizuri kanda ya ziwa?Jamaa,unaijua vzr kanda ya kati au umeamua tu kuanzisha topic?
Inamaana Rukwa maendeleo ya miji ni mkubwaHizo tathmini hazina ukamilifu
Mkoa kama Rukwa hauna rasilimali nyingi lakini angalau kuna miradi na maendeleo kwenye miji pamoja na huduma za kijamii.
Ukienda mikoa ya kanda ya ziwa maendeleo yanapimwa kwenye rasilimali mfano Dhahabu na Almasi lakini wanufaika ni makampuni ya nje yanayopata hela nyingi, hicho kipato kinagawanywa kwa idadi ya watu wa huo mkoa wanaonekana wana maendeleo
Ni sawa na Bakhresa ahamie kijiji flani chenye maskini, kitakwimu kijiji kitaonekana watu wake wana vipato vya juu kwasababu pesa za Bakhresa zitachukuliwa ni za kijiji na kugawanywa kwa idadi ya watu.
Hapa ni JF, uwe unaenda na takwimu sio maneno makavu. Sasa anzia hapa hoja yako
View attachment 3304297
Hata hio MWanza ni Mwanza mjini hapo, usha fika Sengerema huko? Kanda ya ziwa kuna Umasikini wa kutisha nenda huko Mara unaweza liaz fika Musoma Mjini na Vijijini huko kuna Poverty ya kutisha sana.Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma,
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Hizo tathmini hazina ukamilifuWeka takwimu zenye ukamilifu, sio maneno. Takwimu hipingwa kwa takwimu