Kanda za Ziwa Ukiitoa Mwanza, mikoa iliyobaki ipo nyuma sana kimaendeleo, Tatizo ni la serikali?

Kanda za Ziwa Ukiitoa Mwanza, mikoa iliyobaki ipo nyuma sana kimaendeleo, Tatizo ni la serikali?

Regional imbalance.
Mwanza imeendelea kuliko mikoa mingine kwenye kanda ya ziwa kutokana na utalii. Ukiangalia Bismarck rocks zipo Mwanza na pia Ziwa Victoria kwa sehemu kubwa ipo Mwanza kwahiyo uwekezaji mkubwa umefanyika Mwanza kutokana na geographical location yake. Ukiangalia mkoa kama Mara hautambuliki kwa chochote zaidi ya wakurya na nyumbani kwa baba wa taifa.
We nguchiro unajielewa kweli?
Serengeti iko wapi?
Angalia data za mikoa inayochangia pato la taifa mara ni ya ngapi?
 
Mkuu hiyo Mwanza ina Bismarck rocks, ina bustani ya wanyama burigi, hifadhi ya Saanane ipo Mwanza na kisiwa cha Rubondo kipo Mwanza na hapo tusiisahau Rock City mall na daraja la kigongo Busisi.
Burigi na Rubondo zipo Mkoa wa Geita.
Inaonekana Jiografia ya Tanzania inakupiga chenga sana.
 
We nguchiro unajielewa kweli?
Serengeti iko wapi?
Angalia data za mikoa inayochangia pato la taifa mara ni ya ngapi?
Mkuu kama JF imekushinda nenda ukaangalie cocomelon, sawa Serengeti ipo Mara ila Mara ndo moja ya mikoa yenye maendeleo duni na pia Mwanza inaingiza hela nyingi kuliko hiyo Mara.

Based on available economic data, Mwanza Region contributes more to Tanzania's national income than Mara Region.

Gross Domestic Product (GDP)

In 2020, Mwanza's GDP was approximately 11 trillion Tanzanian shillings (around 4.7 billion USD), making it the second-largest regional economy after Dar es Salaam . In contrast, Mara Region's GDP was significantly lower, at around 4.6 trillion TZS (approximately 6.1 billion USD in PPP terms) .

GDP Per Capita

In 2020, Mwanza's GDP per capita was about 2.67 million TZS, while Mara's was approximately 2.26 million TZS . This indicates that, on average, individuals in Mwanza contribute more to the economy than those in Mara.

Conclusion

Mwanza Region has a higher overall economic output and per capita income compared to Mara Region, making it a more significant contributor to Tanzania's national income.
 
Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma, kuna Poverty kubwa.

KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA

Maendeleo ni raia kuweza kumudu life sehemu walipo, huduma za kijamii, miradi ya serikali, n.k. kwa kigezo hiki hata mikoa ya Rukwa na Ruvuma wana nafuu.

Najua kuna watu mtaleta takwimu za kipato cha mtu moja moja za mikoa, hizi takwimu zinaweza kuonesha baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa wapo vizuri lakini hiki sio kipimo kizuri kwasababu hesabu zinazofanyika ni kuchukua mapato yote ya mkoa halafu unagawanywa kwa idadi ya watu wote mpaka watoto wachanga, na ukiangalia mikoa ya kanda ya ziwa kuna rasilimali kama madini lakini wanufaika wakubwa ni makampuni ya nje, hizo pesa zinazopatikana ndizo zinagawanywa na idadi ya watu wote wa mkoa. hiki sio kipimo kizuri.
Kwa Sasa naona Geita inakuja Kwa kasi sana na ipo kati ya Mikoa 5 inayochangia zaidi pato la Taifa.

By the way Mwanza yenyewe imeendea hapo mjini huko kwingine ni maskini wa kutupwa.
 
Kwa Sasa naona Geita inakuja Kwa kasi sana na ipo kati ya Mikoa 5 inayochangia zaidi pato la Taifa.

By the way Mwanza yenyewe imeendea hapo mjini huko kwingine ni maskini wa kutupwa.
Shida ya watu wengi wanatembelea sehemu ya mijini then wanatoa hitimisho kuwa sehemu flani ni masikini na sehemu nyingine ni tajiri. Mimi pia ninawasiwasi na data tunazolishwa kutoka NBS.
Nimebahatika kutembea Tanzania nzima kwenye wilaya na baadhi ya vijiji ila napata mashaka sana mtu anaposema kuwa Kagera ni Mkoa masikini. Make naanza kuchakata maisha ya wananchi kwenye vijiji vya Karagwe, Misenyi, Ngara (life ipo tight kidogo), Muleba, Biharamulo na Bukoba mjini naona wanayo nafuu na pia chakula watakula na kupata pesa ya kujikimu kidogo.

Hivyo hivyo kwa Wilaya za mikoa ya Mbeya, Njombe, Mara ( kule Mara unafika kijijni unakuta watu wanakunywa Bia kreti zaidi 30 kwa siku na mbuzi zaidi ya 4 kila siku mzunguko wa pesa ni mkubwa sana ila bado NBS wanakwambia kuwa hapo kuna umasikini).
Wataalam wetu bado wanapenda sana data za kwenye komputa huku wamekaa na kikombe cha kahawa na sambusa.
 
Vipi kuhusu Biharamul,kyerwa,ngara?
Umaskini ungalipo mkali
 
Vipi kuhusu Biharamul,kyerwa,ngara?
Umaskini ungalipo mkali
Biaharamulo umasikini siyo mkali japo mzunguko wa pesa siyo mkubwa wa kukufanya uwe tajiri.
Mfano Pale Moshi mjini unaweza kusema mzunguko wa pesa ni mkubwa ukilinganisha na Kahama? Lakini mtu wa Moshi anachukuliwa kuwa anamaisha mazuri kuliko mtu anaeishi Kahama.
 
Kwanza kabisa mikoa yote uloitaja ukiitoa Simiyu, hiyo mingine yote ina manispa
-Geita ni manispa
-Shinyanga ina manispa mbili (Shinyanga na Kahama)
-Kagera, Bukoba ni manispa
-Mara, Musoma ni manispa

Niambie ni kanda gani nyingine ukiitoa Dar Es Salaam ina wingi wa manispa kiasi hicho?

Lkn pia kanda ya ziwa 90% inajengwa na watu wa sehemu husika

Fanya upite Manyara, Singida, Dodoma, Kisha urudi kuandika!
 
Back
Top Bottom