BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Geita kuna ahueni gani? unazungumzia lami ay nini? Geita kuna Porvery ya kutisha sana, unazani ukiutoa hata ule Mgodu wa Geita kuna kitu kinabakia paleMItoe Geita hapo kwenye orodha yako
Geita kuna ahueni gani? unazungumzia lami ay nini? Geita kuna Porvery ya kutisha sana, unazani ukiutoa hata ule Mgodu wa Geita kuna kitu kinabakia paleMItoe Geita hapo kwenye orodha yako
Nyie wajinga maendeleo sio miji, maendeleo ni raia kuweza kumudu life, hizo lami na Madaraja haziondoi umasikini.Inamaana Rukwa maendeleo ya miji ni mkubwa
Gani unasema? Nilikuwa Tabora nimepata pesa nyingi sanaHuko kuna nafuu hasa Dodoma, ila kwa Tabora umenena
Tusaidie kujua rank ya kila mmoja kitaifa!Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma,
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Mngejua hapa Dar es Salaam ndo kuna umasikini wa kutisha msingekuja kuandika hapa!Nyie wajinga maendeleo sio miji, maendeleo ni raia kuweza kumudu life, hizo lami na Madaraja haziondoi umasikini.
AI:Tusaidie kujua rank ya kila mmoja kitaifa!
Mmmh! MkuuRegional imbalance.
Mwanza imeendelea kuliko mikoa mingine kwenye kanda ya ziwa kutokana na utalii. Ukiangalia Bismarck rocks zipo Mwanza na pia Ziwa Victoria kwa sehemu kubwa ipo Mwanza kwahiyo uwekezaji mkubwa umefanyika Mwanza kutokana na geographical location yake. Ukiangalia mkoa kama Mara hautambuliki kwa chochote zaidi ya wakurya na nyumbani kwa baba wa taifa.
..rukwa,songwe,katavi, wanakuwaje masikini wakati ardhi ina rutuba?
..umasikini hapa Tanzania unasababishwa na uongozi mbaya.
Kaka Shinyanga na Geita haiko kwenye miakoa maskini zaidi!Ni sahihi, tulitafuta chanzo cha umaskini kwa kila mkoa, suala la uongozi mbovu ni la kwanza. Hata umaskini wa Tanzania kama nchi unasababishwa na uongozi mbovu tu.
Hata hivyo, hiyo haiondoi hoja kwa mikoa hiyo iko kwenye orodha ya mikoa maskini zaidi
Nakubali ya kuwa kuna watu hawaishi Dar es Salaam na wanaingiza kipato kikubwa ila sikubali ya kuwa Dar es Salaam ndo kuna umasikini wa kutisha.Mngejua hapa Dar es Salaam ndo kuna umasikini wa kutisha msingekuja kuandika hapa!
Mfano Shinyanga inaweza kuwa na shida kwenye baadhi ya Wilaya kama Kishapu na Shinyanga Vijijini ila baadhi ya Wilaya kama Kahama mpaka vijijini watu wana vipato vizuri kuzidi hata mjini!
Mfano vijana wengi wa Geita na Kahama wanavipato kuzidi vijana wengi wa Dar es Salaam!
Wewe takwimu zako ziko wapi? Takwimu hipingwa kwa takwimuHizo tathmini hazina ukamilifu
Kipato cha Mtu Mmoja Mmoja ni wastani wa mapato yote ya mkoa, yanayogawanywa kwa idadi ya watu wa eneo hilo (wakiwamo watoto wachanga).
Mikoa ya kanda ya ziwa kuna rasilimali kama Dhahabu na Almasi lakini wanufaika ni makampuni ya nje yanayoingiza pesa nyingi zinazoenda kugawanywa na idadi ya watu wa huo mkoa.
Mkoa kama Rukwa hauna rasilimali nyingi lakini angalau watu wana hali nzuri kimaisha, kuna miradi na maendeleo na huduma za kijamii.
Hicho kipimo ulichoweka kina mipaka yake, Bakhresa akihamia kijiji choka mbaya ukitumia hizo hesabu kijiji kitaonekana watu wake wanajiweza kwasababu ya pesa za Bakhresa
Huyo AI ukimwambia una mashaka na jibu lake utaona anakupa orodha tofautiAI:
Ranking regions in Tanzania by "development" can depend on several indicators such as GDP, infrastructure, education, healthcare, industrial activity, and human development indices. Here's a general ranking based on multiple factors like economic activity, urbanization, and access to services:
Top Developed Regions in Tanzania
1. Dar es Salaam
Economic capital, most industrialized
High urbanization, best infrastructure
Best access to healthcare and education
2. Arusha
Strong tourism sector (e.g., Serengeti, Ngorongoro)
East African Community HQ is located here
Growing business and education centers
3. Kilimanjaro
High literacy rate and education standards
Major tourist destination (Mt. Kilimanjaro)
Good healthcare and infrastructure
4. Dodoma
National capital (political hub)
Rapid urban development due to government relocation
Growing infrastructure and services
5. Mwanza
Major commercial hub around Lake Victoria
Significant mining and fishing industries
Urban growth and improved transport
Moderately Developed Regions
6. Mbeya
Strong in agriculture and trade
Important transit corridor with Zambia/Malawi
7. Tanga
Developing industrial zone
Strategic port and road network
8. Morogoro
Good agricultural base
Education hub (SUA University)
9. Shinyanga
Benefiting from mining and agriculture
10. Geita
Key player in gold mining
Less Developed Regions (mostly rural with limited services)
11. Rukwa
12. Katavi
13. Simiyu
14. Lindi
15. Mtwara (improving due to gas projects)
16. Songwe
17. Njombe
18. Ruvuma
19. Manyara
20. Tabora
21. Singida
22. Kigoma
23. Mara
24. Pwani
25. Kagera
Note: Rankings may vary slightly depending on which data (e.g., from NBS or UNDP) is used. Development is dynamic and can change with new investments or government
Mkuu hiyo Mwanza ina Bismarck rocks, ina bustani ya wanyama burigi, hifadhi ya Saanane ipo Mwanza na kisiwa cha Rubondo kipo Mwanza na hapo tusiisahau Rock City mall na daraja la kigongo Busisi.Mwanza zaidi ya kuwepo kwa kisiwa cha saa 8 na Bujora museum ambayo nayo haipigiwi chepuo sana sioni kingine cha kuwavuta watalii wa kigeni.
Sasa basis ya mtoa mada kwamba, ukiondoa mkoa wa Mwanza, mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa inatia huruma ni nini?AI:
Ranking regions in Tanzania by "development" can depend on several indicators such as GDP, infrastructure, education, healthcare, industrial activity, and human development indices. Here's a general ranking based on multiple factors like economic activity, urbanization, and access to services:
Top Developed Regions in Tanzania
1. Dar es Salaam
Economic capital, most industrialized
High urbanization, best infrastructure
Best access to healthcare and education
2. Arusha
Strong tourism sector (e.g., Serengeti, Ngorongoro)
East African Community HQ is located here
Growing business and education centers
3. Kilimanjaro
High literacy rate and education standards
Major tourist destination (Mt. Kilimanjaro)
Good healthcare and infrastructure
4. Dodoma
National capital (political hub)
Rapid urban development due to government relocation
Growing infrastructure and services
5. Mwanza
Major commercial hub around Lake Victoria
Significant mining and fishing industries
Urban growth and improved transport
Moderately Developed Regions
6. Mbeya
Strong in agriculture and trade
Important transit corridor with Zambia/Malawi
7. Tanga
Developing industrial zone
Strategic port and road network
8. Morogoro
Good agricultural base
Education hub (SUA University)
9. Shinyanga
Benefiting from mining and agriculture
10. Geita
Key player in gold mining
Less Developed Regions (mostly rural with limited services)
11. Rukwa
12. Katavi
13. Simiyu
14. Lindi
15. Mtwara (improving due to gas projects)
16. Songwe
17. Njombe
18. Ruvuma
19. Manyara
20. Tabora
21. Singida
22. Kigoma
23. Mara
24. Pwani
25. Kagera
Note: Rankings may vary slightly depending on which data (e.g., from NBS or UNDP) is used. Development is dynamic and can change with new investments or government
Mimi bado nakukatalia Dar es Salaam hata kwa macho watu wengi ni masikini!Nakubali ya kuwa kuna watu hawaishi Dar es Salaam na wanaingiza kipato kikubwa ila sikubali ya kuwa Dar es Salaam ndo kuna umasikini wa kutisha.
Hiyo Geita yenyewe inawezekana majority wanakipato cha chini ila wewe umefocus na wenye kipato cha juu.
Burigi ni Geita mkuu.Mkuu hiyo Mwanza ina Bismarck rocks, ina bustani ya wanyama burigi, hifadhi ya Saanane ipo Mwanza na kisiwa cha Rubondo kipo Mwanza na hapo tusiisahau Rock City mall na daraja la kigongo Busisi.
Mimi namkatalia Shinyanga na Geita aiondoe kabisa hapo!Sasa basis ya mtoa mada kwamba ukiondoa mkoa wa Mwanza, mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa inatia huruma ni nini?
Sawa mkuu. Kwakuwa mimi sijatembea sana Mwanza, Geita na Shinyanga siwezi nikakukatalia.Mimi bado nakukatalia Dar es Salaam hata kwa macho watu wengi ni masikini!
Geita wewe unaichukulia poa ukumbuke ila miji mingi midogo ya Kibiashara kama Katoro,Buseresere,Kasamwa,Karumwa na wengi ni vijana wenyeji wa hayo maeneo!
Geita na Shinyanga ambayo inabebwa na Kahama hawako vibaya sana!
Ukitaka kujua angalia licha ya kufungwa migodi ya Buzwagi na Kakola kusimama kwa muda lakini Kahama bado ilikuwa Wilaya inayoingiza kipato na TRA makosanyo yalikuwa makubwa!
Na ukiangalia wawekezaji wengi wa Kahama na Geita wengi ni wakazi wa Ukanda huo!
Mimi naenda sana kwenye Showroom za Magari,maduka ya bajaji nk wanakwambia baada ya Dar mikao ya Shinyanga,Geita na Mwanza ndo wananunua sana magari!
Hilo kundi la watu wenye mitaji mikubwa halifikii hata asilimia 1 ya mkoaMimi namkatalia Shinyanga na Geita aiondoe kabisa hapo!
Nenda Geita,Katoro na maeneo mengine watu wana biashara kubwa na mitaji ya kutisha!
Sawa hiyo tureplace na Bujora Museum.Burigi ni Geita mkuu.