Siku ukifika kwenye miji midogo ya Kahama kama Kagongwa,Kakola(Bulyanhulu),Runzewe,Bukombe mkoa wa Geita kwa sasa utashangaa sana!Sawa mkuu. Kwakuwa mimi sijatembea sana Mwanza, Geita na Shinyanga siwezi nikakukatalia.
Sina uhakika mtoa mada alikuwa amebase upande upi ila mimi nimetoa hoja zangu kubase na maendeleo.Sasa basis ya mtoa mada kwamba ukiondoa mkoa wa Mwanza, mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa inatia huruma ni nini?
Nakukatalia unaposema asilimia moja ni uongo!Hilo kundi la watu wenye mitaji mikubwa halifikii hata asilimia 1 ya mkoa
Angalia wastani overall ya maisha ya watu wengi waliobaki
Nadhani amekurupuka!Mimi namkatalia Shinyanga na Geita aiondoe kabisa hapo!
Nenda Geita,Katoro na maeneo mengine watu wana biashara kubwa na mitaji ya kutisha!
Mwanza penyewe ajira hamna, biashara nazo ni za ivo ivo tu,Tanzania jiji no Dar tu angalau na Arusha kwinginr uongo!!Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma, kuna Poverty kubwa.
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Maendeleo ni raia kuweza kumudu life sehemu walipo, huduma za kijamii, miradi ya serikali, n.k. kwa kigezo hiki hata mikoa ya Rukwa na Ruvuma wana nafuu.
Najua kuna watu mtaleta takwimu za kipato cha mtu moja moja za mikoa, hizi takwimu zinaweza kuonesha baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa wapo vizuri lakini hiki sio kipimo kizuri kwasababu hesabu zinazofanyika ni kuchukua mapato yote ya mkoa halafu unagawanywa kwa idadi ya watu wote mpaka watoto wachanga, na ukiangalia mikoa ya kanda ya ziwa kuna rasilimali kama madini lakini wanufaika wakubwa ni makampuni ya nje, hizo pesa zinazopatikana ndizo zinagawanywa na idadi ya watu wote wa mkoa. hiki sio kipimo kizuri.
Nakukatalia unaposema asilimia moja ni uongo!
Yaani Kahama au Geita Katoro unaniaminisha wenye hela asilimia moja?
Wewe unavyoiona Mwanza wanaojenga wengi ni watu wa Geita,Kahama na Mara!
Usichukulie poa kabisa labda kama unaongea kishabiki!
Chukulia mfano kwa Shinyanga pekee kunaweza kuwa na watu 1,500,000Nadhani amekurupuka!
Sawa. Ila sisi Bukoba HATUNA MAENDELEO mjini ila njoo vijijini tunapoishi. Wa Mwanza wanaishi vizuri mjini, lakini nenda vijijini kwao! Ahahahahaha!!Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma, kuna Poverty kubwa.
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Maendeleo ni raia kuweza kumudu life sehemu walipo, huduma za kijamii, miradi ya serikali, n.k. kwa kigezo hiki hata mikoa ya Rukwa na Ruvuma wana nafuu.
Najua kuna watu mtaleta takwimu za kipato cha mtu moja moja za mikoa, hizi takwimu zinaweza kuonesha baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa wapo vizuri lakini hiki sio kipimo kizuri kwasababu hesabu zinazofanyika ni kuchukua mapato yote ya mkoa halafu unagawanywa kwa idadi ya watu wote mpaka watoto wachanga, na ukiangalia mikoa ya kanda ya ziwa kuna rasilimali kama madini lakini wanufaika wakubwa ni makampuni ya nje, hizo pesa zinazopatikana ndizo zinagawanywa na idadi ya watu wote wa mkoa. hiki sio kipimo kizuri.
Wewe unasikia stori uko Dar hapa mimi niko mjini hapa na huko naenda na ninashuhudia kabisa vijana wa huko wanafanya makubwa!Nadhani amekurupuka!
Kaka Shinyanga na Geita haiko kwenye miakoa maskini zaidi!
Mikoa maskini zaidi ni
Kagera
Kigoma
Dodoma
Tabora
Simiyu
Singida nk!
Wewe unadani Dar es Salaam watu wenye hela ni wengi?Chukulia mfano kwa Shinyanga pekee kunaweza kuwa na watu 1,500,000
Asilimia 1 ni watu 15,000
Tajiri inabidi angalau awe na mali zenye networth ya Bilioni 1 kwenye accoun
Fafanus zaidi mkuu, ulibadilika kwa niniTanzania naonaga nchi yote kama maskini tu ,tena nilipobahatika nikafika sauzi mtazamo wangu ulibadilika sana
Kagera ina changamoto ya zao la Kahawa,Kigoma miundombinu kama umeme wa grid ya taifa umefika kama mwaka sasa!..Kagera na Kigoma wanakuwaje masikini wakati ni mikoa ya mpakani?
Hivi wewe unajua maendeleo? Tanzania hakuna mkoa hata mmoja ambao una maendeleo au umeendelea. Period.Kanda ya Ziwa ukiitoa Mwanza mikoa iliybaki inatia huruma, kuna Poverty kubwa.
KAGERA
GEITA
MARA
SIMIYU
SHINYANGA
Maendeleo ni raia kuweza kumudu life sehemu walipo, huduma za kijamii, miradi ya serikali, n.k. kwa kigezo hiki hata mikoa ya Rukwa na Ruvuma wana nafuu.
Najua kuna watu mtaleta takwimu za kipato cha mtu moja moja za mikoa, hizi takwimu zinaweza kuonesha baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa wapo vizuri lakini hiki sio kipimo kizuri kwasababu hesabu zinazofanyika ni kuchukua mapato yote ya mkoa halafu unagawanywa kwa idadi ya watu wote mpaka watoto wachanga, na ukiangalia mikoa ya kanda ya ziwa kuna rasilimali kama madini lakini wanufaika wakubwa ni makampuni ya nje, hizo pesa zinazopatikana ndizo zinagawanywa na idadi ya watu wote wa mkoa. hiki sio kipimo kizuri.
Cha ajabu hao wa mkoa wa Simiyu ndio waendeshaji wakuu wa uchumi wa kanda ya ziwaHapa ni JF, uwe unaenda na takwimu sio maneno makavu. Sasa anzia hapa hoja yako
View attachment 3304297
Mimi huwa nashangaa sana unakutana na mtu anavimba eti yuko Dar es Salaam!Hivi wewe unajua maendeleo? Tanzania hakuna mkoa hata mmoja ambao una maendeleo au umeendelea. Period.
kupata pesa hakuhusiani na Umasikini, umeenda shule kweli? Taifa lina wajinga sana hiliTabora
Gani unasema? Nilikuwa Tabora nimepata pesa nyingi sana
wakina nani? Mkuu kuna poverty sana huko, huko wakati wa Kampeni watu huhongwa hadi Chumvi,kuwepo na matajiri hakuondoi umasikini wa vipato kwa raia.Cha ajabu hao wa mkoa wa Simiyu ndio waendeshaji wakuu wa uchumi wa kanda ya ziwa
Wasukuma(Wanyantuzu) ndo wenye hela huo ukanda pamoja na Wakurya!wakina nani? Mkuu kuna poverty sana huko, huko wakati wa Kampeni watu huhongwa hadi Chumvi,kuwepo na matajiri hakuondoi umasikini wa vipato kwa raia.
Huyo upo wapi? Mbwa weeekupata pesa hakuhusiani na Umasikini, umeenda shule kweli? Taifa lina wajinga sana hili