Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwizi tangu akiwa polisi. Lakini alipopata ubunge akajifanya mtakatifu lakini baada ya muda wakakamatwa Bahi wakiomba rushwa, kesi ikapigwa figisu. Baadaye kutokana na kupayuka akapewa uwaziri akaanza kufyatuka na kufukuza watumishi kwa kisingizio cha utumbuaji kumbe ni style ya kujifanya mkali huku unaiba kimya kimya. Ikazuka kashfa maarufu ya kuchangiwa hela na wafanyabiashara Arusha ili amwondoe RTO na DTO, Mteuzi akaisikia lakini akaziba masikio. Hili la Leo ni kuthibitisha tu LUGOLA si mwaminifu, hajawahi kuwa mwaminifu na haitatokea awe mwaminifu.MWIZI KAMUIBIA LIJIZI WOTE MIJIZI = MaCCM
Alisha kuwa pale magomeniHuyu ni mwizi tangu akiwa polisi. Lakini alipopata ubunge akajifanya mtakatifu lakini baada ya muda wakakamatwa Bahi wakiomba rushwa, kesi ikapigwa figisu. Baadaye kutokana na kupayuka akapewa uwaziri akaanza kufyatuka na kufukuza watumishi kwa kisingizio cha utumbuaji kumbe ni style ya kujifanya mkali huku unaiba kimya kimya. Ikazuka kashfa maarufu ya kuchangiwa hela na wafanyabiashara Arusha ili amwondoe RTO na DTO, Mteuzi akaisikia lakini akaziba masikio. Hili la Leo ni kuthibitisha tu LUGOLA si mwaminifu, hajawahi kuwa mwaminifu na haitatokea awe mwaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app