Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Wanao pambana na watoto wapendwa Bashite na Musiba wanakumbana na fyekeo haraka sana.
Bado mmoja Kigwa, alisikia Idris anatakiwa akaripoti Kigwa akajifanya kidume eti ata muwekea wakili!
Bashite bado ana kisasi lazima Kigwa aisome tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapa,ila mwanamke hapo sijaona atakaeweza stress za Home affairs. Hapo inatakiwa mtu kama.....Hata sioni kwa kweli.
 
Alikuwa na kashifa ya kusaini mkataba wa madini wakati kamishina wa madini na katibu mkuu wa wizara walishasema mkataba hauna tija. Aliapishwa tarehe 27 na tarehe 30 akasaini document. Ishu ilivofumuka akaandika barua haraka kujiuzulu
Simbachawene alikuwa na kashfa au alishindwa tu kasi ya mzee lakini baadaye akaonekana anaafadhali kuliko wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na kashifa ya kusaini mkataba wa madini wakati kamishina wa madini na katibu mkuu wa wizara walishasema mkataba hauna tija. Aliapishwa tarehe 27 na tarehe 30 akasaini document. Ishu ilivofumuka akaandika barua haraka kujiuzulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haise, Maswala ya uongozi yamekuwa yaajabu sana nchi hii kwa sasa! Ndo maana hata Lugola leo hii katumbuliwa na bado anajichukulia kama mchezaji wa akiba
 
Back
Top Bottom