Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

Mpina aliambiwa na Mheshimiwa kuwa naye zimepinda. Naona kwa sifa hiyo anaweza kuhamishwa kutoka eneo la kitoewo cha samaki. Bashe akapelekwa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hii dhana ya kutumbuliwa inaanza kukubalika sasa kwa wahusika. Kile kipindi ambacho ndio mambo yalikuwa yameanza watu walikuwa hawaelewi kabisa, mfano nappe alivyotumbuliwa alikasirika sana kiasi cha kupiga vijemembe na kuona kama yupo juu sana na anastaili kuwa waziri yeye tu. Hawa wanaofusta sasa wakitumuliwa wanamshukuru muheshmiwa naisi na kusonga mbele. Safi sana JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QUOTE="britanicca, post: 34169498, member: 290488"]
Nauliza tu hivi nani anafaa kurithi mikoba y


Tuangalie pia
Mawaziri wa mambo ya ndani tangu tupate Uhuru!:
1- Sir George Kahama-1961-1962
2-Oscar Kambona- 1962-63
3-Lawi Sijaona-1963-65
4-Jobu Lusinde-1965-67
5-Said Mawanya-1967-73
6-Omary Muhaji- 1973-74
7-Ally H.Mwinyi-1975-76
8-Hassan N.Moyo-1977-78
9-Salmin Omary-1979-80
10-Abdala Natepe- 1980-83
11-Muhidini Kimario-1983-88
12-Nalaira Kihura-1988-90
13-Agustino L.Mrema- 1990-94
14- Ernest Nyanda- 1994-94
15-Ally Mohamed-1994-99
16-Mohamed Khatibu- 2000-02
17-Omary R. Mapuri-2003-05
18-Jonh Chiligati-2006-08
19-Lawarenc Masha- 2008-10
20- Shams V.Nahodha- 2010-12
21-Emanuel Nchimbi- 2012-13
22- Mathias Chikawe- 2014-15
23- Charles Kitwangwa- 2015-16
24- Mwigulu Chemba- 2016- 18
25- Kangi Lugola- 2018-2020.
Next??
[/QUOTE]

Mrema na Kimario ndio walidumu kwa kipindi kirefu, "walau"
 
Aliye karibu naye amwulize ile assignment ya kumkamata Kigogo2014 anaiacha iko kwenye hatua gani? na kwanini asiombe apewe muda zaidi kwenye hiyo nafasi ya WMN ili amalizie assignment yake? 😀😀😂

Shikamooo sana kaka Kigogo2014. 👊
 
Bila upendeleo huyo jamaa wa Dar angefaa kabisa.Ningekuwa jamaa namteua ubunge halafu namkabidhi rungu! mmesahau operation dawa za kulevya na anavyoatoa watu jasho utadhani ni waziri au mbunge kumbe ni wa mkoa tu
 
Ametolewa kwa kukosa maadili lakini bado anawaza kuingia tena, sijui utaratibu ukoje labda tu ni kuchanganyikiwa kwa namna alivyotolewa kwa uwaziri
Akiwa kamati fulani ya bunge aliruka kihunzi kama hicho,hikikimekuwa kirefu zaidi.
 
'sisi wengine tuliopo benchi tunaendelea kuchapa jaramba unaweza kuingia muda wowote.”

Jamaa bado linawaza uteuzi tu.

dodge
 
Back
Top Bottom