Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
britanicca,
Simba Chawene 2020
Simba Chawene 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye unaweweseka. Mtazame Simbachawene... alipiga jalamba benchi,kiwango kilipopanda amerudi tena barazani.Hahaha eti ana mawazo ya kuingia tena. Kuweweseka kubaya sana...
Lowassa sio waziri mkuu mstaafu kwani hakukamilisha kipindi chake cha uwaziri mkuu Kustaafu ni kukamilisha kipindi chako cha utumishi tena bila kosa utaitwa mstaafuWajuzi wa itifaki za uongozi naomba maoni yenu kama mh Kangi amejiuzulu au ametumbuliwa.
Mpaka sasa bado tuna kitendawili cha mh Lowassa kama ni Waziri mkuu mstaafu au Waziri mkuu aliyejiuzulu hivyo naomba hili la Kangi tueleweshane mapema maana katika utumishi wa Umma kuna tofauti kubwa kati ya kujiuzulu na kutumbuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Watu wa HR wanasema kuna aina tofauti tofauti za kustaafu na mojawapo ni kustaafu kwa kujiuzulu kama alivyofanya mzee Lowassa!Lowassa sio waziri mkuu mstaafu kwani hakukamilisha kipindi chake cha uwaziri mkuu Kustaafu ni kukamilisha kipindi chako cha utumishi tena bila kosa utaitwa mstaafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesha rudisha gari na nyumba na walinzi wetu mengine mtajua wenyeweWajuzi wa itifaki za uongozi naomba maoni yenu kama mh Kangi amejiuzulu au ametumbuliwa.
Mpaka sasa bado tuna kitendawili cha mh Lowassa kama ni Waziri mkuu mstaafu au Waziri mkuu aliyejiuzulu hivyo naomba hili la Kangi tueleweshane mapema maana katika utumishi wa Umma kuna tofauti kubwa kati ya kujiuzulu na kutumbuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Bongo Waziri aachie ngazi kwa hiari!! Thubutu, humuoni Kigwa anavyobabaika mitandaoni kupuyanga as if bila uwaziri anapomteza mama yake...Wajuzi wa itifaki za uongozi naomba maoni yenu kama mh Kangi amejiuzulu au ametumbuliwa.
Mpaka sasa bado tuna kitendawili cha mh Lowassa kama ni Waziri mkuu mstaafu au Waziri mkuu aliyejiuzulu hivyo naomba hili la Kangi tueleweshane mapema maana katika utumishi wa Umma kuna tofauti kubwa kati ya kujiuzulu na kutumbuliwa.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Jamaa anatakiwa kushikwa kwa Uhujumu uchumi... Yeye anatamba amepumzishwa....!!Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekubali uamuzi wa Rais Magufuli kumuondoa katika nafasi hiyo akisema kuwa Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe
Amesema, “Kwangu mimi hili ni jambo la faraja. Ninyi Waandishi wa Habari na Watanzania mmemsikia Rais hatua alizozichukua. Ni hatua nzuri zinalenga kujenga vizuri safu ya Serikali ya Awamu ya Tano.”
Aidha, ameongeza “Mawaziri waliopo, wanaoendelea waendelee kuchapa kazi. Likiundwa Baraza la Mawaziri na wachache kutoka CCM sisi wengine tuliopo benchi tunaendelea kuchapa jaramba unaweza kuingia muda wowote.”