johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #181
Hahahaaaa...... hahahaaaa...... Kipenga kimepulizwa!Hata asifie kiaje mwambieni Jimbo lake anapewa musiba oktoba
[emoji23] hapo kwenye kutokomeza corona ndo ishaanza kusemwa hivyo.Kuna siku watakuja kusema tumtolee sadaka za kuteketezwa kwani anafanana na Mungu aliyempiga farao kwa ghadhabu. Reference itakuwa amewapiga mabeberu mapigo 10.
1. Kuzuia makinikia na mkataba mpya wa madini
2. Kuzuia miradi ya kipigaji eg bagamoyo
3. Amejenga miundombinu
4. Amefufua mashirika ya umma
5. Amenunua ndege kwa cash
6. Anasifiwa na lumumba plo
7. Anawanyoosha wapinzani
8. Anaungwa mkono kila mahali
9. Anaongoza wanyonge
10. Ametokomeza corona.
Amini amini nawaambia, awamu hii haitapita mpaka tushuhudie maajabu yote ya karne zijazo.
Stupid question from a stupid person.
Another question from an idiot manJibu swal we ndondocha
Another question from an idiot man
😀😆😀Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
Stupid question from a stupid person.
Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
Acha ushamba wewe.
Acha ushamba wewe.
Yeye mwenyewe Muumba alisema ametuumba kwa mfano wake. Yani alitufananisha na yeye iweje ushangae yesu kufananishwa na JPM!!
Huyu naye ameona mbinu pekee ya kurudi bungeni au kupewa jimbo ni kusifia na kutukuza.
Usimdharau unayemuona darasani ni mjinga kisa anapata zero. Hii mbinu ya kutukuza na kusifia ililetwa na Genius Makonda aka Bashite mr.zero.
Leo hii Maprofessor na madoctor wanafata mbinu yake ili waweze kula.
MAKONDA YOU ARE GENIUS
Kwahiyo unaona ni sawa?