Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kuna siku watakuja kusema tumtolee sadaka za kuteketezwa kwani anafanana na Mungu aliyempiga farao kwa ghadhabu. Reference itakuwa amewapiga mabeberu mapigo 10.
1. Kuzuia makinikia na mkataba mpya wa madini
2. Kuzuia miradi ya kipigaji eg bagamoyo
3. Amejenga miundombinu
4. Amefufua mashirika ya umma
5. Amenunua ndege kwa cash
6. Anasifiwa na lumumba plo
7. Anawanyoosha wapinzani
8. Anaungwa mkono kila mahali
9. Anaongoza wanyonge
10. Ametokomeza corona.

Amini amini nawaambia, awamu hii haitapita mpaka tushuhudie maajabu yote ya karne zijazo.
[emoji23] hapo kwenye kutokomeza corona ndo ishaanza kusemwa hivyo.
 
Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
 
😀😆😀
 
Natamani hili bunge livunjwa leo usiku,ni bunge la ajabu haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.
 
[emoji848][emoji16][emoji1][emoji38][emoji4][emoji848]
Baada ya kusikia Andengenye kasamehewa yeye kaamua kuja na gia ya kumuita Magufuli Yesu.
Na usishangae akawin maana pengine aliko anapeana tano na mama J huku akimwambia "si unaona, sasa sio ya malaika mkuu tena sasa ni Yesu. Mimi ndio bosi wa Papa, makadnali na maaskofu wote"
 
Yesu hana aliye mmiliki Na wakristo sio wamiliki wa YESU.

ILA KANG LUGOLA ccm ni ile ile.
 
Huyu naye ameona mbinu pekee ya kurudi bungeni au kupewa jimbo ni kusifia na kutukuza.

Usimdharau unayemuona darasani ni mjinga kisa anapata zero. Hii mbinu ya kutukuza na kusifia ililetwa na Genius Makonda aka Bashite mr.zero.

Leo hii Maprofessor na madoctor wanafata mbinu yake ili waweze kula.

MAKONDA YOU ARE GENIUS

[emoji848]
 
Flava huwa zinatofautiana! Mwingine mlevi, mwingine mzizi, mwingine mgomvi, mwingine mwongo, mwinhine Katili kumshinda hata shetani. Zote ni dhambi!!
 
Back
Top Bottom