Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Mbona hakuo gelea dini yoyote? Yesu siyo wa dini tu, ni wa wanadamu wote hata Lugola mwenyewe. Hivyo hivyo alivyo Rais Magufuli - siyo Rais wa WANACCM tu ni Rais wa waTanzania wote pamoja na wewe na wanaCHADEMA! Msikasilike.
huna akili
 
Ukiona mtu mzima anaongea maneno kama hayo tena yupo kwenye jumba la kutunga sheria basi jua kuwa huyo mtu ni mficha makosa na ni fisadi mkubwa.
1. Bunge lenyewe wanaliita tukufu hivyo na wabunge nao niwatukufu. Note, Rais naye ni mbunge.
2. Alichokosea Lugola ni matumizi ya maneno ya kiswahili ya kiibada katika hadhira ya kisiasa.
3. Yesu ni mwingi wa rehema na hahitaji kutetewa na wafuasi wake bali anajua namna atakavyolishughulikia jambo hilo.
4. J.K. Yerere alishasemwa ni mwenye heri na pengine alishatangazwa mtakatifu, huenda na huyu aliyeko madarakani sasa yuko kwenye mchakato wa kutunukiwa daraja hilo la kiimani.
 
Yesu wao anakuja kesho

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni ndoto huyo kupata hiyo sifa na haitatokea kamwe, wacha kumlinganisha Nyerere na watu wengine
 

ISAYA 42:8 MIMI NI Bwana ndiyo jina langu, na utukufu wangu sitampa mtu mwengine [MAGUFULI] wala sitawapa sanamu sifa zangu!

Ninamtaka Mungu aonyeshe wivu huo aliousema dhidi ya wanaomchukulia sifa zake, please please
 
Of all the comments.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yes siyo fala bana.
 
Amekosea angemwita mungu kabisa,ushauri kwa ccm waanze kumwita mungu au mtukufu mbona Kenya walikuwa wanamwita mtukufu rais Daniel Arap Moi na wenyewe waanze hawajachelewa chama Cha kijani.
 
Wanabodi,
Saalam!
Kwakuwa kangi lugola alitamka, mbele ya camera na kusikiwa na watanzania waliowengi.

Ilitakiwa aliyefananishwa na Yesu kristo, leo ktk kulivunja bunge akane au kumkemea lugola hadharani.
Tofaauti na mategemeo ya wengi imekuwa kimya.

Hivyo kitendo hicho kinatuonesha lugola amekubali na muhusika kama siyo kutumwa.

My take,
Viongozi wa dini watu hao watengwe kanisani kanisani, msipofanya hivyo mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kumweka mwanaadam kwenye nafasi ya mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…