Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Duuuu hiyo itakuwa ni pwagu na pwaguzi
Kesho utaskia kessy nae ni wazir....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho utaskia kessy nae ni wazir....
Nendeni na hii hoja kwenye kampeni ili Magufuli ashindwe,!
Alafu sijui kampeni mtaoigaje maana mnasema corona imejaa,
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Sihuyu ila Ahmada.
huna akiliMbona hakuo gelea dini yoyote? Yesu siyo wa dini tu, ni wa wanadamu wote hata Lugola mwenyewe. Hivyo hivyo alivyo Rais Magufuli - siyo Rais wa WANACCM tu ni Rais wa waTanzania wote pamoja na wewe na wanaCHADEMA! Msikasilike.
1. Bunge lenyewe wanaliita tukufu hivyo na wabunge nao niwatukufu. Note, Rais naye ni mbunge.Ukiona mtu mzima anaongea maneno kama hayo tena yupo kwenye jumba la kutunga sheria basi jua kuwa huyo mtu ni mficha makosa na ni fisadi mkubwa.
Yesu wao anakuja keshoManeno ya Kangi Lugora baada ya kumfananisha Rais Magufuli na Yesu ambapo anasema:
Rais Magufuli ni kama Yesu na hata aliponitengua uwaziri nilimshukuru kwa kumwambia "Ulinipa uwaziri, sasa umeutwaa na jina lako lihimidiwe"
Sisi kama nchi kwa sasa jina la Magufuli linatufanya tunamkufuru Mungu. Hili halikubaliki hata kidogo.
Kwani umesahau 2015 Madabida alimfananisha Lowassa na Mtume Mohammed?Watakuja kusema Magufuli ndie Mtume.
Hapo lazima kinuke n wataacha utaahira
1. Bunge lenyewe wanaliita tukufu hivyo na wabunge nao niwatukufu. Note, Rais naye ni mbunge.
2. Alichokosea Lugola ni matumizi ya maneno ya kiswahili ya kiibada katika hadhira ya kisiasa.
3. Yesu ni mwingi wa rehema na hahitaji kutetewa na wafuasi wake bali anajua namna atakavyolishughulikia jambo hilo.
4. J.K. Yerere alishasemwa ni mwenye heri na pengine alishatangazwa mtakatifu, huenda na huyu aliyeko madarakani sasa yuko kwenye mchakato wa kutunukiwa daraja hilo la kiimani.
Kwani umesahau 2015 Madabida alimfananisha Lowassa na Mtume Mohammed?
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.
Chanzo: Bungeni
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Niko huko. Karibu msibani shemeji nipo na dada yakp hapa.Kwani unarudi lini kwenu bujumbula?
Mbona Niko huko. Karibu msibani shemeji nipo na dada yakp hapa.
Haya bwasheeBaki huko huko kwa washuti wenzako
Of all the comments.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yes siyo fala bana.1. Bunge lenyewe wanaliita tukufu hivyo na wabunge nao niwatukufu. Note, Rais naye ni mbunge.
2. Alichokosea Lugola ni matumizi ya maneno ya kiswahili ya kiibada katika hadhira ya kisiasa.
3. Yesu ni mwingi wa rehema na hahitaji kutetewa na wafuasi wake bali anajua namna atakavyolishughulikia jambo hilo.
4. J.K. Yerere alishasemwa ni mwenye heri na pengine alishatangazwa mtakatifu, huenda na huyu aliyeko madarakani sasa yuko kwenye mchakato wa kutunukiwa daraja hilo la kiimani.