Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Yesu tena....! Kiongozi wa malaika yeye..!
Mtampa vyeo vyote na "UTUKUFU UCHWARA" , havitamuondolea roho yake mbaya na dhamira yake ya kutesa na kuua wanaompinga.
Magufuli anabaki kua Kiongozi wa GENGE la KISHETANI, CCM.
 
Ufisadi gani ambao umefanyika awamu ya tano? Zitto alilazimisha tril 1.5 zimepotea akaishia kutepeta kwa uongo wake.
 
.....ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.
 
Teh...azidi kukata mauno asinyang'anywe jimbo, mjini hapa..
 
Huyu jamaa sasa anamkufuru Mungu!

Hivi atawezaje kumfananisha Magufuli na Mwokozi Yesu Kristo?

Anguko atakalolipata kutokana na kufuru yake hiyo atajutia maisha yake yote!
Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…