Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Yesu tena....! Kiongozi wa malaika yeye..!
Mtampa vyeo vyote na "UTUKUFU UCHWARA" , havitamuondolea roho yake mbaya na dhamira yake ya kutesa na kuua wanaompinga.
Magufuli anabaki kua Kiongozi wa GENGE la KISHETANI, CCM.
 
kwa kumsifia bosi wake, ni dhahiri kuwa Kangi Lugola atasamehewa kushitakiwa kwa ufisadi wa matrilioni aliotaka kuufanya. jambazi anaposhikwa katikati ya tukio la ujambazi mahakama haiwezi kumsamehe eti tu kwa vile hakufanikiwa kupora alichodhamiria.

waheshimiwa Zitto, John Mnyika, etc.... inaonekana mpo silent sana kwenye ajenda ya ufisadi dhidi ya awamu ya 5.

matukio ya kifisadi yaliyofanywa na awamu hii ni mengi na makubwa - msiyanyamazie asilani. yaorodhesheni yote kwenye campaign dashboard mwaka huu.

ni moja ya kete muhimu za turufu kuelekea October 2020.

MENE, MENE, TEKELI NA PERESI.
Ufisadi gani ambao umefanyika awamu ya tano? Zitto alilazimisha tril 1.5 zimepotea akaishia kutepeta kwa uongo wake.
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
.....ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.
FB_IMG_1472986839652.jpg
 
Teh...azidi kukata mauno asinyang'anywe jimbo, mjini hapa..
 
Huyu jamaa sasa anamkufuru Mungu!

Hivi atawezaje kumfananisha Magufuli na Mwokozi Yesu Kristo?

Anguko atakalolipata kutokana na kufuru yake hiyo atajutia maisha yake yote!
Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .
 
Back
Top Bottom