Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Matokeo yake na adhabu yake ipo wazi.
Ni kifo aliyesifiwa, aliyeifia au mtu yoyote wa karibu.
Ni kifo aliyesifiwa, aliyeifia au mtu yoyote wa karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga wamevuka mipaka waaanz kusema meko ni sawa na Yesu The Nazareth.Kunani huko? naona vumbi tuu elezea vzr au nikupe maji kwanza
Sogeza kiti ukae utaelewa kinachoendeleaKunani huko? naona vumbi tuu elezea vzr au nikupe maji kwanza
Hawezi hata kufanana na wajina wake John mbatizaji ndo aje kufanana na Majesty King of all Kings??Mataga wamevuka mipaka waaanz kusema meko ni sawa na Yesu The Nazareth.
Asilimia 100Una hakika??
Ufisadi gani ambao umefanyika awamu ya tano? Zitto alilazimisha tril 1.5 zimepotea akaishia kutepeta kwa uongo wake.kwa kumsifia bosi wake, ni dhahiri kuwa Kangi Lugola atasamehewa kushitakiwa kwa ufisadi wa matrilioni aliotaka kuufanya. jambazi anaposhikwa katikati ya tukio la ujambazi mahakama haiwezi kumsamehe eti tu kwa vile hakufanikiwa kupora alichodhamiria.
waheshimiwa Zitto, John Mnyika, etc.... inaonekana mpo silent sana kwenye ajenda ya ufisadi dhidi ya awamu ya 5.
matukio ya kifisadi yaliyofanywa na awamu hii ni mengi na makubwa - msiyanyamazie asilani. yaorodhesheni yote kwenye campaign dashboard mwaka huu.
ni moja ya kete muhimu za turufu kuelekea October 2020.
MENE, MENE, TEKELI NA PERESI.
.....ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke.Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
We ungejibu swali kuna tril 1.2 zilikwapuliwa serikalini?Wakati ule kamtumbua mlishangilia na kumsifu Magu, sasa kamsamehe mnashangilia na kumsifu Magu!
Ha ha ha, mkuu umenichekesha sana leo!Magu aliwahi kusema wkt yeye ni Mwl. aliwahi kumfundisha Kangi huko shuleni.
Kwa hio Kangi ni mwanafunzi wa 'Yesu' kama wakina Petro.
Yaani mbunge kusema kweli rais JPM anatatua kero za wananchi imekuwa kosa? Kwani watu hawaoni kwenye Tv namna anavyotatua hizo kero?Kazi kweli kweli...tunafanya makosa kusema tuna Bunge wakati si kweli.
Sidhani kama amemlinganisha Yesu na JPM,bali katoa mfano namna akifika sehemu na kutatua kero za wananchi ni kama vile Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida on the spot. Ila hana maana kwamba JPM na Yesu wanalingana. Mfano watu wakilia hawana mabati hapo hapo wanachapwa mil 20 na JPM .Huyu jamaa sasa anamkufuru Mungu!
Hivi atawezaje kumfananisha Magufuli na Mwokozi Yesu Kristo?
Anguko atakalolipata kutokana na kufuru yake hiyo atajutia maisha yake yote!