Yaani Unamfananisha Yesu na MAGUFULI?.. Halafu na wewe ni Mkristo,,,,,Ndo Maana nawakubali Waislamu na jinsi wanavyo mpa Upweke ALLAH ,,,,,na Mtume wao Mohammed S.A..W..sijawahi kumsikia kafanananishwa na Binadamu tena Aliyee jaa NAJISI,,,,,LUGOLA AKILI ZAKO ZIPO KIUNONI
Huwa natafakari ile njia ya mateso aliyopitia Yesu hadi kufikia hatua ya kuomba aondolewe kile kikombe, halafu mtu anakuja kufanya reference ya siasa zake za njaa kwa kumfananisha Yesu na hawa binadamu waliojaa madhambi inashangaza sana.....Yesu ni sadaka isiyokuwa na doa au mawaa ambayo ilitolewa kwa ajili ya wokovu wa dunia nzima, nimeanza kuelewa kwa nini Suleimani aliomba kupewa hekima badala ya mali..
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola.
Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari