Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Awamu ya kuabudu na kusujudu ili kulinda ama kutafuta ugali.
 
uzur nyie mnasema harafu sie tunachambua hiyo sio ndoa kusema umsifikie mkeo mbele za wana ambao hawamjui kiundani
 
Yaani Unamfananisha Yesu na MAGUFULI?.. Halafu na wewe ni Mkristo,,,,,Ndo Maana nawakubali Waislamu na jinsi wanavyo mpa Upweke ALLAH ,,,,,na Mtume wao Mohammed S.A..W..sijawahi kumsikia kafanananishwa na Binadamu tena Aliyee jaa NAJISI,,,,,LUGOLA AKILI ZAKO ZIPO KIUNONI
 
Huwa natafakari ile njia ya mateso aliyopitia Yesu hadi kufikia hatua ya kuomba aondolewe kile kikombe, halafu mtu anakuja kufanya reference ya siasa zake za njaa kwa kumfananisha Yesu na hawa binadamu waliojaa madhambi inashangaza sana.....Yesu ni sadaka isiyokuwa na doa au mawaa ambayo ilitolewa kwa ajili ya wokovu wa dunia nzima, nimeanza kuelewa kwa nini Suleimani aliomba kupewa hekima badala ya mali..
 
Sawa Kikangikangi tumekusikia...endelea kukata mauno tu!

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Kwa hali inavyoenda, wenda mbeleni tukashinda baa kujipongeza endapo mwenzetu atafikwa na tatizo.
Mungu tuhurumie waja wako.!
 
"Rais @MagufuliJP amekuwa kama Yesu Kristo, Watanzania wanamlilia na kumfuata na ndiyo maana hata aliponitengua nilisema, ulinipa heshima ya huu Uwaziri na leo umeutwaa, jina la Magufuli libarikiwe" -Kangi Lugola.

Rais John Magufuli ni lulu ya Watanzania, Mheshimiwa Magufuli amejenga heshima ya Taifa hili na ndio maana liko kwenye kilele cha juu cha kutenda haki machoni mwa Watanzania - Kangi Lugola. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
 
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Huyu naye ameona mbinu pekee ya kurudi bungeni au kupewa jimbo ni kusifia na kutukuza.

Usimdharau unayemuona darasani ni mjinga kisa anapata zero. Hii mbinu ya kutukuza na kusifia ililetwa na Genius Makonda aka Bashite mr.zero.

Leo hii Maprofessor na madoctor wanafata mbinu yake ili waweze kula.

MAKONDA YOU ARE GENIUS
 
Back
Top Bottom