Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Huyu jamaa sasa anamkufuru Mungu!

Hivi atawezaje kumfananisha Magufuli na Mwokozi Yesu Kristo?

Anguko atakalolipata kutokana na kufuru yake hiyo atajutia maisha yake yote!
 
Huyu mzee bhana naona anapiga promo na yeye arudishwe uwaziri mwakani anaona siasa ni kama Dance floor atakataa mauno kisha atapewa madaraka.
 
Kujipendekeza at it's highest level. Ashajua ukisifia tu unaula. Anajaribu zali lake kama Mwigulu
 
Amejifunza kwa Dr Mwigullu Nchemba!
Basi kashafeli anataka kupita njia alizopita mwenzake anatakiwa apite njia yake yani swagger zile zile hapati kitu ataendelea kukata mauno kwenye shughuli za Muungano alafu maofisa watamtunza.
 
Kuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
Hata Kama ni mahaba kwa JPM hapa naona pongezi nyingine zitaleta laana.
Kuna amri ya Mungu inakataza kuwa miungu mingine kwa kuwa Mungu ni mwenye wivu na huwapatiliza Wana makosa ya baba zao kizazi Hadi kizazi....

Kwa wakristo Yesu ni Mungu Sasa kusema Magufuli Kama Yesu maana Yake Kama Mungu na Mungu hafananishwi na binadamu au kitu chochote.

Wakatubu Hawa watu watatuletea laana juu ya nchi kwa kujikombakomba kupita kiasi Hadi kumfananisha binadamu na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani CHADEMA wanahojiwa na TAKUKURU kwa kukatwa laki tano kwenye mishahara kitu ambacho waliridhia. Lakini Kangi Lugola anaachwa baada ya kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi wa Tshs. 1 trillion. Daah...alaf unaambiwa umchague Magufuli tena?🤣🤣🤣
Na watu wanashangilia mpaka makoo yanawauma. Hivi kweli yanatokea moyoni? Au ni ugonjwa gani wajameni ?
 
Kwani kuna pesa ilikwapuliwa? Walikuwa bado kwenye stage za kutengeza Mou. Kumbuka tril 1.2 ni zaidi ya escrow scandal . Inawezekana iachwe hivi hivi?
Mkuu Rais wenu alidai walilipana posho za hundred of dollars kwa siku moja ili wakamilishe huo mchakato.

Ningependa muelewe Ufisadi ni process sio tukio. Hta Lowassa mlimtoa kwenye kiti hakua amebeba hta senti ila ule mchakato ungepelekea wizi ndio maana akang'olewa.

Ni sawa na jambazi anataka kuiba benki ssa ashanunua silaha na ameshapata ramani ya jengo alafu akikamatwa useme "Alikua bado hajaiba"!!

CCM msifanye waTz ni watoto wadogo, October watawauliza hyo mahakama ya mafisadi imemshtaki nani ilihali Nchambi na Lugora wapo nje!!
 
Mkiuliza maswali kama hayo wananchi watakuwa wanawaonesha vituo vya afya,hospitali,madaraja,mradi wa Sgr,JNHPP n.k alafu wanabaki kuwashangaa tu.
 
Back
Top Bottom