Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unauliza upuuzi.1.2 trl na 1.5trl ya CAG ipi kubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza upuuzi.1.2 trl na 1.5trl ya CAG ipi kubwa?
Ni wimbo gani ulikua umeshika hatamu kipindi anayarudi hapa
Mpuuzi kila kitu huona ni upuuzi.Unauliza upuuzi.
Hahah ngoja wanafunzi wa 'Yesu' waendelee kufuata mafundisho yake mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umeua!!
Kuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
Amejifunza kwa Dr Mwigullu Nchemba!Huyu mzee bhana naona anapiga promo na yeye arudishwe uwaziri mwakani anaona siasa ni kama Dance floor atakataa mauno kisha atapewa madaraka.
Basi kashafeli anataka kupita njia alizopita mwenzake anatakiwa apite njia yake yani swagger zile zile hapati kitu ataendelea kukata mauno kwenye shughuli za Muungano alafu maofisa watamtunza.Amejifunza kwa Dr Mwigullu Nchemba!
Hata Kama ni mahaba kwa JPM hapa naona pongezi nyingine zitaleta laana.Kuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
Na watu wanashangilia mpaka makoo yanawauma. Hivi kweli yanatokea moyoni? Au ni ugonjwa gani wajameni ?Yaani CHADEMA wanahojiwa na TAKUKURU kwa kukatwa laki tano kwenye mishahara kitu ambacho waliridhia. Lakini Kangi Lugola anaachwa baada ya kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi wa Tshs. 1 trillion. Daah...alaf unaambiwa umchague Magufuli tena?🤣🤣🤣
Hahaha....yamechanganyikiwa mkuuToka CCM wabadili namna ya upatikanaji wa wagombea wao naona akili zao zmepotea kabisa
Ulipokuwa shamba ulikuwa mtulivu , kuingia Dar es salaam umekuwa muhuni sana - Polisi jazz band wana vangavangaNi wimbo gani ulikua umeshika hatamu kipindi anayarudi hapa
Mkuu Rais wenu alidai walilipana posho za hundred of dollars kwa siku moja ili wakamilishe huo mchakato.Kwani kuna pesa ilikwapuliwa? Walikuwa bado kwenye stage za kutengeza Mou. Kumbuka tril 1.2 ni zaidi ya escrow scandal . Inawezekana iachwe hivi hivi?
Asante mkuuUlipokuwa shamba ulikuwa mtulivu , kuingia Dar es salaam umekuwa muhuni sana - Polisi jazz band wana vangavanga
Mkiuliza maswali kama hayo wananchi watakuwa wanawaonesha vituo vya afya,hospitali,madaraja,mradi wa Sgr,JNHPP n.k alafu wanabaki kuwashangaa tu.Mkuu Rais wenu alidai walilipana posho za hundred of dollars kwa siku moja ili wakamilishe huo mchakato.
Ningependa muelewe Ufisadi ni process sio tukio. Hta Lowassa mlimtoa kwenye kiti hakua amebeba hta senti ila ule mchakato ungepelekea wizi ndio maana akang'olewa.
Ni sawa na jambazi anataka kuiba benki ssa ashanunua silaha na ameshapata ramani ya jengo alafu akikamatwa useme "Alikua bado hajaiba"!!
CCM msifanye waTz ni watoto wadogo, October watawauliza hyo mahakama ya mafisadi imemshtaki nani ilihali Nchambi na Lugora wapo nje!!