mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili li kangi hata baada ya kutupwa nje bado linasifia!? Kweli Tz watu wana njaa.
Sasa wamesamehewa nini kama hakuna kosa walilofanya?!
LENGO LA KUMFANANISHA JIWE NA MBOWE NI NINI?Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Dah.....bunge linogile.

Baada ya kusamehewa na jela hakika ni Yesu wakeDah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu ulichosema MoU sio binding mie nmekujibu ufisadi wao ni wizara kuwalipa allowance hao maofisa wa serikali walio kwenye official negotiations tena 800USD per day hyo seating allowance tu!! Na hyo ni kwa mujibu wa JPM sio mimi?Allowance zilizoliopwa ilikuwa pesa ya serikali? Michakato ya procurement ilikiukwa ndio maana serikali makini ilishutuka. Wale waromania waliwalipia jamaa hizo posho zilizodaiwa kuwa rushwa una uhakika kama zinge......
Yeye ni Petro,Yohana,au batholomeo,Magu aliwahi kusema wkt yeye ni Mwl. aliwahi kumfundisha Kangi huko shuleni.
Kwa hio Kangi ni mwanafunzi wa 'Yesu' kama wakina Petro.
kwa mawazo yako mchakato wa ufisadi hauhusishi rushwa?? Yaani mkataba mbovu hivo ila hakuna ofisa aliyehongwa? Kweli mkuu?Wamesamehewa kwa kosa la kunuia kuiba sio kuiba kwa kuwa hakuna kilichoibiwa
Ni sawa na kumkata Jamaa anampeleka Mkeo kichochoroni akiwa kamshika mkono huku mkono mwingine kashika barakoa ya sehemu za siri
HakikaKufuru nyingine mpaka unaogopa
kwa mawazo yako mchakato wa ufisadi hauhusishi rushwa?? Yaani mkataba mbovu hivo ila hakuna ofisa aliyehongwa? Kweli mkuu?
Kweli maofisa wa ofisi ya AG watoe go ahead kwa mkataba ambao wanajua wazi kabisa unakiuka sheria za PPRA bila wao kupoozwa?
Kma ni hivi TAKUKURU waombe radhi kwa kupotosha kwamba wana ushahidi wa rushwa kwenye hizo negotiations!!
Kwanza naomba nikukosoe hakuna mashitaka yaliyoenda kwa Dpp bali jalada la uchunguzi toka Pccb. Hapo ndipo Dpp huwa anachuja na kuona kama kuna ushahidi unaotosha ili afungue mashitaka.Mkuu ulichosema MoU sio binding mie nmekujibu ufisadi wao ni wizara kuwalipa allowance hao maofisa wa serikali walio kwenye official negotiations tena 800USD per day hyo seating allowance tu!! Na hyo ni kwa mujibu wa JPM sio mimi?
Pia mchakato wa procurement ulikukwa nadhani procedure zipo wazi kabisa namna ya kutoa tenda na kupitishwa. Sasa hayo sio mashtaka tosha kuwaburuza kortini?
Mind you mashtaka tayari yapo kwa DPP na TAKUKURU wamedai ushahidi wote upo!! Ssa ni lini mahakama ya mafisadi itafanya kazi?
kwa kumsifia bosi wake, ni dhahiri kuwa Kangi Lugola atasamehewa kushitakiwa kwa ufisadi wa matrilioni aliotaka kuufanya. jambazi anaposhikwa katikati ya tukio la ujambazi mahakama haiwezi kumsamehe eti tu kwa vile hakufanikiwa kupora alichodhamiria.Dah.....bunge linogile.

Aiseeee!