Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Hili lizee pumbavu kabisa jinga halina akili uwezi kumfananisha Yesu na binadamu!! Huyu atakua na matatizo ya akili pumbavu sana hili jinga
Hili li kangi hata baada ya kutupwa nje bado linasifia!? Kweli Tz watu wana njaa.
 
Wamesamehewa kwa kosa la kunuia kuiba sio kuiba kwa kuwa hakuna kilichoibiwa

Ni sawa na kumkata Jamaa anampeleka Mkeo kichochoroni akiwa kamshika mkono huku mkono mwingine kashika barakoa ya sehemu za siri
Sasa wamesamehewa nini kama hakuna kosa walilofanya?!
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
LENGO LA KUMFANANISHA JIWE NA MBOWE NI NINI?
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!

I thank and adore Mbowe in particular the way his political entrepreneurship has beared fruits to an extent of transforming some people own genders in the name of Madam Lugola, Madam Ndugai, Bibi Musukuma, Shosti Linjuamukali and many others in that line of insensible fanatism.
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Baada ya kusamehewa na jela hakika ni Yesu wake
 
Allowance zilizoliopwa ilikuwa pesa ya serikali? Michakato ya procurement ilikiukwa ndio maana serikali makini ilishutuka. Wale waromania waliwalipia jamaa hizo posho zilizodaiwa kuwa rushwa una uhakika kama zinge......
Mkuu ulichosema MoU sio binding mie nmekujibu ufisadi wao ni wizara kuwalipa allowance hao maofisa wa serikali walio kwenye official negotiations tena 800USD per day hyo seating allowance tu!! Na hyo ni kwa mujibu wa JPM sio mimi?

Pia mchakato wa procurement ulikukwa nadhani procedure zipo wazi kabisa namna ya kutoa tenda na kupitishwa. Sasa hayo sio mashtaka tosha kuwaburuza kortini?

Mind you mashtaka tayari yapo kwa DPP na TAKUKURU wamedai ushahidi wote upo!! Ssa ni lini mahakama ya mafisadi itafanya kazi?
 
Magu aliwahi kusema wkt yeye ni Mwl. aliwahi kumfundisha Kangi huko shuleni.

Kwa hio Kangi ni mwanafunzi wa 'Yesu' kama wakina Petro.
Yeye ni Petro,Yohana,au batholomeo,
Huyu mwanafunzi wa Yesu
 
Wamesamehewa kwa kosa la kunuia kuiba sio kuiba kwa kuwa hakuna kilichoibiwa

Ni sawa na kumkata Jamaa anampeleka Mkeo kichochoroni akiwa kamshika mkono huku mkono mwingine kashika barakoa ya sehemu za siri
kwa mawazo yako mchakato wa ufisadi hauhusishi rushwa?? Yaani mkataba mbovu hivo ila hakuna ofisa aliyehongwa? Kweli mkuu?

Kweli maofisa wa ofisi ya AG watoe go ahead kwa mkataba ambao wanajua wazi kabisa unakiuka sheria za PPRA bila wao kupoozwa?

Kma ni hivi TAKUKURU waombe radhi kwa kupotosha kwamba wana ushahidi wa rushwa kwenye hizo negotiations!!
 
'…Evidence beyond reasonable doubt…' haya maneno hayakuwekwa ili tu sentesi zikamilike kwny masuala ya sheria

Ukikutana na Mtoto wako anatafuna tafuna kitu mdomoni ajitokea Jikoni halaf baadae ukakuta nyama imeliwa unawez kumtia vitasa vya hisia ila sio vya kisheria

Mtu hatiwi hatiani kwa hisia tu
kwa mawazo yako mchakato wa ufisadi hauhusishi rushwa?? Yaani mkataba mbovu hivo ila hakuna ofisa aliyehongwa? Kweli mkuu?

Kweli maofisa wa ofisi ya AG watoe go ahead kwa mkataba ambao wanajua wazi kabisa unakiuka sheria za PPRA bila wao kupoozwa?

Kma ni hivi TAKUKURU waombe radhi kwa kupotosha kwamba wana ushahidi wa rushwa kwenye hizo negotiations!!
 
Mkuu ulichosema MoU sio binding mie nmekujibu ufisadi wao ni wizara kuwalipa allowance hao maofisa wa serikali walio kwenye official negotiations tena 800USD per day hyo seating allowance tu!! Na hyo ni kwa mujibu wa JPM sio mimi?

Pia mchakato wa procurement ulikukwa nadhani procedure zipo wazi kabisa namna ya kutoa tenda na kupitishwa. Sasa hayo sio mashtaka tosha kuwaburuza kortini?

Mind you mashtaka tayari yapo kwa DPP na TAKUKURU wamedai ushahidi wote upo!! Ssa ni lini mahakama ya mafisadi itafanya kazi?
Kwanza naomba nikukosoe hakuna mashitaka yaliyoenda kwa Dpp bali jalada la uchunguzi toka Pccb. Hapo ndipo Dpp huwa anachuja na kuona kama kuna ushahidi unaotosha ili afungue mashitaka.
Pili hakuna pesa ya serikali Usd 800 ililipwa na serikali bali ni hao waromania ndio waliwapa kama posho ya ziada. Ndio maana nikakuuliza una uhakika kulikuwa na ushahidi wa kutosha kuwatia hatiani hao washukiwa? Maana labda ni ishu nyingine kabisa.
 
Dah.....bunge linogile.

Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.

Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
kwa kumsifia bosi wake, ni dhahiri kuwa Kangi Lugola atasamehewa kushitakiwa kwa ufisadi wa matrilioni aliotaka kuufanya. jambazi anaposhikwa katikati ya tukio la ujambazi mahakama haiwezi kumsamehe eti tu kwa vile hakufanikiwa kupora alichodhamiria.

waheshimiwa Zitto, John Mnyika, etc.... inaonekana mpo silent sana kwenye ajenda ya ufisadi dhidi ya awamu ya 5.

matukio ya kifisadi yaliyofanywa na awamu hii ni mengi na makubwa - msiyanyamazie asilani. yaorodhesheni yote kwenye campaign dashboard mwaka huu.

ni moja ya kete muhimu za turufu kuelekea October 2020.

MENE, MENE, TEKELI NA PERESI.
 
Adhabu y kumuita binadamu kwa ni Munguni kifo.
Kuna mfalme wananchi wake walisema hii ni sauti ya Mungu.
Mungu akamuulia mbali
Ngoj tuone ...........
 
Back
Top Bottom