Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

Kaka Angu,nakusihi kwa Jina la Bwana Wetu Yesu Kristo! Naomba utulie na Familia YAKO.
Unapoona Haukamatwi kwa Yale unayoyafanya,ujue Mungu anakupa muda wa Kuacha na kujirekebisha. Naomba ubadilike,usiichezee Neema aliyokupa Mungu.
Yale unayoyafanya c sahihi kabisa!! Unawachanganya mtu na dada ake,halafu haujisikii Hatia??
Wakati Mwingine unaona Sifa unavyosimulia na wengine wanakusapoti,lakini jua unacreate Laana na mikosi juu Ya Uzao wako pasipo kujua! Athari zinaweza zisikutokee wewe,lakini zikatokea Ndani ya Kizazi chako kilichopo au kijacho. Nakusihi Ubadilike Mkuu,Roho Mtakatifu aachilie nguvu ya Mabadiliko Ndani yako
Nmekusikia dada angu[emoji26]
 
Dah nimecheka Sana maana ukitaka kujua tabia ya mpenzi wako muudhi
 
Dah li thread lireeeeefu ila content pumba nyingi.In short ujinga ni mwingi sana kwenye huu uhusiano wenu
 
Dah Mimi siwezani na mdomo wa choo kabisa, sipendi mwanamke asiestaarabika hata akiwa na hasira inatakiwa ajielewe
Uyu ndo alivyo,
Nikiwaambia mamaJ sio wife material huwa mnaniona nakosea Sana.

Umeyaona mwnyw mkuu[emoji4]
 
nimegundua mama j alikuwa anakuuzia kidimbwi

kule kuhangaika kote na kumuita sexy machine kumbe alikuwa yupo kazini
😂😂 leo ukweli umejulikanaa

rudisha mahaba kwa mkeo atakupa gem poa kuliko huko ulikokuwa unanunua
 
Duuh!!Kwhyo mkuu wewe daily ni show show tena kwa wanawake zaidi ya mmoja?
Sio kila siku, ila haiwez pita siku mbili sijapiga show. Labda iwepo dharura.

Ninao watatu TU,
Wife, mamaJ na rose
 
Back
Top Bottom