Ngara...Hakuna aliyepigania uhuru wa Tanganyika
Hata Nyerere ni muongo kuwa alipigania uhuru
Muda wa uhuru ulifika na tukapewa uhuru tu
Hao matapeli waliokuja kufanikisha ukoloni ndio wakupiganie?Kuna watu kama Mohamed Said ambao wana mtizamo kuwa historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika imepotoshwa kwa kuwa mchango wa waislam hauelezewi kwa kina.
Lakini labda ipo pia historia iliyoachwa kuonesha mchango wa kanisa kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika. Jee Kanisa halina mchango wowote kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika?
Kanisa liltumia "abstractive administrative & technical skills" lakini Waislamu hasa wa maeneo ya Pwani, kwa kuwa walikuwa hawana elimu, wao waliwekwa mstari wa mbele ili kutekeleza mikakati iliyowekwa na wasomi wa Kikristo.Kuna watu kama Mohamed Said ambao wana mtizamo kuwa historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika imepotoshwa kwa kuwa mchango wa waislam hauelezewi kwa kina.
Lakini labda ipo pia historia iliyoachwa kuonesha mchango wa kanisa kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika. Jee Kanisa halina mchango wowote kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika?
Uhuru lilikuwa ni suala la muda na wakati wa uhuru ulifika tukapewa Uhuru bure kutoka Kwa MwingerezaNgara...
Inaelekea huijui historia ya uhuru wa Tanganyika na historia ya TANU.
Mwaka wa 1950 Gavana Edward Francis Twining alitoa Government Circular No. 5 kuwakumbusha Waafrika wafanyakazi wa serikali kutojihusisha na siasa.
Hii circular ilitolewa baada ya TAA kuonekana kupitia TAA Political Subcommittee iliyokuwa na wajumbe hawa😀r. Vedasto Kyaruzi (President), Abdulwahid Sykes (Secretary), Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Hamza Mwapachu, Sheikh Said Chaurembo, Steven Abdallah Muhando na John Rupia ikijihusisha na siasa za kudai uhuru.
Yako mengi lakini kwa sasa tuanze na kipande hiki.
Ujoka,Uhuru umeletwa na watanzania regardless of their beliefs hadi kuna wachawi ndani walikua wakiroga wakoloni wanapata mabusha hayo mambo ya dini aachiwe mzee mohamed ndio niche yake hio kugawanya watanzania
Ngara...Uhuru lilikuwa ni suala la muda na wakati wa uhuru ulifika tukapewa Uhuru bure kutoka Kwa Mwingereza
Sera ya league of nations (UN) ililazimu decolonization
Na ndo maana miaka ya 70/80 hakuna Taifa lilikuwa chini ya mkoloni yeyote
Izato,Kanisa liltumia "abstractive administrative & technical skills" lakini Waislamu hasa wa maeneo ya Pwani, kwa kuwa walikuwa hawana elimu, wao waliwekwa mstari wa mbele ili kutekeleza mikakati iliyowekwa na wasomi wa Kikristo.
Kwa kifupi Wakristo walikuwa upande wa utawala na menejimenti zaidi, yaani back desk officers, wakati Waislamu walikuwa ni front desk officers. All in all, kwa umoja wao Uhuru wa Tanganyika ukapatikana kwa njia ya bendera na kuepusha umwagaji mkubwa wa damu.
Kuna watu kama Mohamed Said ambao wana mtizamo kuwa historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika imepotoshwa kwa kuwa mchango wa waislam hauelezewi kwa kina.
Lakini labda ipo pia historia iliyoachwa kuonesha mchango wa kanisa kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika. Jee Kanisa halina mchango wowote kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika?
Hongera sana mzee wetu Mohamed! Sasa mbona wengine leo wanaumia tukichanga hela kwa ajili ya mkutano wa chadema? Historia ya baadaye itapata mtu wa kutuandika hivi?Allen...
Ilikuwa mwaka wa 1955 TANU inahangaika kutafuta fedha za kumpeleka rais wake UNO.
Mkusanyaji fedha wa safari hii alikuwa Iddi Faiz Mafungo na ndiye alikuwa mweka hazina
wa TANU na pia Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika).
Iddi Faiz Mafungo alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU Ukumbi wa Arnautoglou yeye
na ndugu yake Iddi Tosiri na kadi zao za TANU zilikuwa No. 24 Iddi Faizi na No. 25 Iddi Tosiri.
Hawa walikuwa wanachama na viongozi wa Al Jamiatul Islamiyya.
Hawa ndugu wawili walikuwa wadogo zake Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagomoyo kwao
alikuwa kaka binamu na ndugu hawa wawili ndiyo waliompeleka Nyerere Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Ramiyya.
Ilikuwa usiku na mvua kubwa inanyesha.
Mwalimu Nyerere kenda nyumbani kwa Ali Mwinyi Tambwe kuulizia hali ya michango ya safari.
Mwalimu alikuwa kashika mwamvuli.
Ali Mwinyi akamwambia Nyerere kuwa hali ya michango haijawa sawa.
Ali Mwinyi Tambwe alikuwa Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika alikuwa anakaa kwenye nyumba ya Al Jamiatul Islamiyya na mbele ya nyumba hii ndipo ilipokuwa shule.
Ali Mwinyi alikuwa mtu wa karibu sana na Nyerere.
Ali Mwinyi ndiye alikwenda na Abdul Sykes Nansio, Ukerewe kwenda kupata kauli ya mwisho ya Mwapachu kuhusu kumtia Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA katika uchaguzi wa mwaka wa 1953.
Hamza Mwapachu alimwambia Abdul Sykes kuwa yeye bado hajabadili fikra zake.
Nyerere apewe uongozi wa TAA na mwaka unaofuatia 1954 TANU iundwe.
Kisa cha Uchaguzi wa TAA April 1953 uliofanyika Ukumbi wa Arnautoglou baina ya Abdul Sykes na Julius Nyerere ni kisa maarufu.
Safari ya UNO Ilipowiva dhifa ya kumuaga Mwalimu Nyerere ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Hii kwa ufupi sana ndiyo historia ya Mwalimu Nyerere.
View attachment 3639509
Kulia Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius Nyerere,
Saadan Abdu Kandoro na Haruna Iddi Taratibu
View attachment 3639525
Aliyevaa koti na kanzu na tarbushi ni Iddi Faiz Mafongo Uwanja wa Ndege safari ya Nyerere UNO 1955
View attachment 3639529
Jengo la Al Jamiatul Islamiyya ilipofanyika dhifa ya kumuaga Mwalimu Nyerere sadari ya kwanza UNO 1955
Zimbabwe imepata uhuru mwaka 1980.Sera ya league of nations (UN) ililazimu decolonization
Na ndo maana miaka ya 70/80 hakuna Taifa lilikuwa chini ya mkoloni yeyote
Ww na akil ni parallel lineKanisa lipi?
Bila shule za Makanisa hao kina Nyerere na Wenzake wangeweza hata kudai huo uhuru?
Nature inapingana na unachosema. Kati ya kanisa na upande wa pili hata zama hizi nani anategemea misaada?Makanisa yote yalikuwa snitch kwa kuwa walitaka kuendelea kupokea misaada ya wazungu wakati ule hata wao walikuwa bado wagalatia kwelikweli.
Wamechomea sana mipango ya kupigania uhuru, hasa migomo ya wafanya kazi
Na hakukuwa na hata padri wala mchungaji wala kasisi wala askofu kwenye TAA wala TANU
Ila Masheikh kibao wa kumwanga walikuwa wanampelekea moto mkoloni
Halafu mkajitungisha vistori vya kibanga kampiga mkoloni muenekane mlikuwepo
Historia ya Tanganyika imeficha ukweli mwingi na kumpa kilaza Nyerere masifa mengi ikiwa sivyo.Ngara...
Jitulize usome historia ya Tanganyika.
Hiyo haina maana kuwa mtu kilaza kama Nyerere au uislam wangeweza kupigania uhuru,Zimbabwe imepata uhuru mwaka 1980.
Namibia imepata uhuru mwaka 1990
Matako yako.kumpa kilaza Nyerere masifa mengi ikiwa sivyo.