Kanisa halikupigania kabisa uhuru wa Tanganyika?

Scars,
Kuwa nina "inferiority complex," huo ni uoni wako hakuna wa kukuingilia.

Na kama ulivyosema mimi sina haki ya kuamua historia ipi ni ya kweli.

Nililofanya mimi nimeandika kile ninachojua kuwa ni kweli.

Anaeshughulishwa na historia hii si mimi bali ni wale wanaojitokeza kunishambulia kwa nini nimeeleza historia nyingine ya uhuru wa Tanganyika?
Hapana, watu hawashambulii historia yako.

Watu wanaona makosa, wanajaribu kuku-confront ila wewe hiyo huioni kwasababu ya ego ya kuona upo sahihi, unachoona wewe ni dhana ya "mti wenye matunda kupigwa mawe"

Na mfano mzuri uko hapa kwenye huu mjadala, kila ninapo jaribu kukusahihisha kuwa Atheism sio Upagani, hutaki kukosolewa, hutaki kukubali kuwa umepotosha maana halisi ya neno Atheism badala yake unatumia Ad Hominem "Huwezi kuniamulia mimi baina ya haki na batil"
 
Natukanwa hapa au hujaona hayo matusi?
Hujasoma kejeli la ''Hili zee!''

Hilo la Upagani kwangu ni suala la imani.
Haliwezi kubadilishwa na kauli yako.

Kuna watu wanaamini mnyama ni mungu wao.

Uislam unakataza kwatukania hawa huyu mnyama
wao kwa kuchelewa hao wasije wakamtunana mungu
wa kweli.

Huu mwaka wa 26 kitabu cha Abdul Sykes kipo na hakuna
aliyeandika kitabu kueleza historia inayopingana na kitabu
changu.
 
Ngara...
Jitulize usome historia ya Tanganyika.
kuna mmisionari aliyeitwa Millender, huyu mzungu aliwatukana sana wazee wetu wakristo/wainjilisti na wachungaji waliokuwa wanaunga mkono Nyerere na harakati za kupigania uhuru. Jamii nzima ya Tanganyika iliunga mkono upatikanaji wa uhuru bila kujali dini zao. Nadhani hao waislamu walifanya hivyo si kwa sababu ya uislam wao bali ni kama raia/wananchi wa Tanganyika
 
Loth. ..
Tatizo ni kuwa historia iliyokuwapo haikuwa sawa.

Hii ndiyo sababu ya mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes.
 
Msipowasikiliza watawaambia mna mfumo Kristu hadi masikioni ndiyo maana hamzisikii hoja zao.Wait and see!
Hili ndilo linafanya historia ya uhuru wa Tanganyika iwe na mvutano. Baada ya uhuru, kuna walioanza kuamini kuwa nchi inaongozwa kwa ''mfumo Kristo''. Wakajiona kuwa wao ndiyo walistahili kupewa kipaumbele ila wanadhulumiwa. Mvutano huu umezaa kutoaminiana kwa pande zote. NB. Kikwete ni mmoja ya wanaoamini hii dhana na hata yanayotokea sasa ni matokeo ya yeye kuwa mhusika mkuu.
 
Scars,
Natukanwa hapa au hujaona hayo matusi?
Hujasoma kejeli la ''Hili zee!''

Hilo la Upagani kwangu ni suala la imani.
Haliwezi kubadilishwa na kauli yako.

Kuna watu wanaamini mnyama ni mungu wao.

Uislam unakataza kwatukania hawa huyu mnyama
wao kwa kuchelewa hao wasije wakamtunana mungu
wa kweli.

Huu mwaka wa 26 kitabu cha Abdul Sykes kipo na hakuna
aliyeandika kitabu kueleza historia inayopingana na kitabu
changu.
Okay, siungi mkono swala la wewe kuitwa majina hayo ya maudhi.

Lakini jambo hilo ukiliangalia kwa umakini utaona hata wewe umelifanya au umekuwa ukilifanya.

Kuwaita Atheists wapagani, ni neno ambalo linaweza kutafsirika kama dhihaka.

Mfano hili swala la wewe kutokubali kukosolewa, hili pia linaweza kuwa na energy ileile ya tusi kwa mtu anayejaribu kukukosoa kwa namna nzuri ila ukaweka mapingamizi ya ubishi kuonekana kama haujakosea.
 
Msikiti na uhuru wapi na wapi..wazanzibari ni kielelezo hadi leo wana chukia watanganyika kisa kupiganiwa uhuru wao na wabara kwa kumuondoa muarabu ...ndiyo maana sasa hivi waarabu ndiyo wenye kupewa uongozi wa juu kule zenji
😂😂
 
Ukisema kanisa unamaanisha kitu gani, km ni RC hao hata leo wasingependa nchi iwe huru, maaskofu wa RC wana uraia wa Vatican na ni wazalendo zaidi kwa Vatican huku ni vibaraka wa kuchukua rasilimali zetu kuzipeleka Vatican. Wakatoliki hawakutaka kabisa uhuru
Hebu hili litolee ufafanuzi... Unataka kusema Maaskofu wa Tanzania wana uraia wa Vatican?Hebu lithibitishe hili.

Pia kama unaweza hebu taja hizo rasirimali zinazoibiwa na hao Maaskofu wa Kikatoliki ni zipi na zinapelekwaje huko Vaticani?
 
Okay, siungi mkono swala la wewe kuitwa majina hayo ya maudhi.

Lakini jambo hilo ukiliangalia kwa umakini utaona hata wewe umelifanya au umekuwa ukilifanya.

Kuwaita Atheists wapagani, ni neno ambalo linaweza kutafsirika kama dhihaka.

Mfano hili swala la wewe kutokubali kukosolewa, hili pia linaweza kuwa na energy ileile ya tusi kwa mtu anayejaribu kukukosoa kwa namna nzuri ila ukaweka mapingamizi ya ubishi kuonekana kama haujakosea.
Scars,
Pagani halijapata kuwa kejeli au tusi.
 
Scars,
Pagani halijapata kuwa kejeli au tusi.
Na hakuna sehemu kwenye kamusi ambapo neno 'lizee' limetafsiriwa kama tusi.

Lakini nilikuelewa kwasababu ya muktadha na mazingira uliyolitumia kutafsiri neno hilo.

Vivyo hivyo, mimi ni Atheist. Ukiniita 'mpagani', hiyo ni kejeli na dhihaka kwangu.

Halafu unazidi kuonesha character yako ya ubishi na kutokubali kukosolewa. Hili si jambo lenye afya kwa mtu wa umri wako.

Awali ulijaribu ku-play victim card lakini pale ulipooneshwa kitu kama hicho hicho ulikifanya dhidi yangu, umeanza ku spin na kufanya ionekane ulichofanya ni sawa.
 
Ikiwa hii ndiyo fikra yako mimi sina la zaidi.
 
Sawa Mzee ila ubishi wa aina hii wenye ego na inferiority unakuweka katika taswira mbaya ya "ujuaji"
Scars,
Mimi nifanye ubishi kwa kutaka nini?
Mimi kama wewe unaniona "inferior," hainishughulishi kwani hicho ni kitu cha kawaida sana kwa watu mfano wangu.

Hilo la kuwa mimi mjuaji iulize nafsi yako itakupa jibu.
 
Kwa kutaka kuonekana hukosei

Unaweza kunipa sababu kwanini hukubali Atheism sio sawa na Paganism?
 
Back
Top Bottom