KERO Kanisa hili linanikera; nifanyeje?

KERO Kanisa hili linanikera; nifanyeje?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa mbele.

Mara nyingine, ibada yao huendelea hadi saa 8 usiku huku wakitumia mabomba.

Nifanyeje?
 
Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu, usiku mchana linapiga kwaya

Wanatumia mabomba katika ibada zao. hawajui watu wamelala au wako macho wao ibada kwenda mbele

Wakati mwengine hufika saa 8 usiku wakiwa katika ibada kwa kutumia mabomba.
Nifanyeje?

hawa ni walokole
Kwenye makazi ya watu kanisa limefuata nini..!
 
Suluhisho hapo ni kuwaripoti serikali ya mtaa. Au ungekuwa na connection NEMC wangewapa kibano fasta. Maana sio utaratibu maeneo ya ibada kuwa jirani na makazi ya watu kiasi hicho.

Maeneo ya ibada yanatakiwa yawe makubwa yenye uzio ambao ni mkubwa kiasi kwamba makelele yanaishia humo humo.
 
Hujuagi kama lile domo la bata la swalaaaaaa pia ni KERO kubwa sana..... ?? Kuwaambia kitanda chako ni kaburi hiyo shaka ni sanda sio uchawi huooo?? Kaa kwa kutulia upigwe pambio kwa jina la YESU wa nazareth
tofauti. hii ni dakika 2 au 3. hili kanisa usiku wa kucha, saa 2:00 mpka saa 8:00 mchana wanaenda kupunmzika. saa 2:00 suki mpaka saa 8:00 siku ibada tena kwa kutumia spika za nje. USIWE MWEHU
 
Hujuagi kama lile domo la bata la swalaaaaaa pia ni KERO kubwa sana..... ?? Kuwaambia kitanda chako ni kaburi hiyo shuka ni sanda sio uchawi huooo?? Kaa kwa kutulia upigwe pambio kwa jina la YESU wa nazareth


Hawa jamaa wanavitisho vya kijinga sana. Kuna wanaojitambua wanasema hizo kelele za hazana za saa 11 hazitakiwi
 
Adhana hata dk 5 huwa haitumii, ila hao ibada inaweza Kuta masaa na masaa.. kuna mahela hekima na akili vitumike.. unapokuwa na huduma au kanisa kwenye makazi ya watu tumia vitu maalumu kuzuia noise kwa majirani
Adhana dakika 2 nyingi, wakati mwengine upo karibu ya msikiti huisikii . lkn hii kutwa nzima na usiku mzima
 
Hujuagi kama lile domo la bata la swalaaaaaa pia ni KERO kubwa sana..... ?? Kuwaambia kitanda chako ni kaburi hiyo shuka ni sanda sio uchawi huooo?? Kaa kwa kutulia upigwe pambio kwa jina la YESU wa nazareth
Hao wote ni wachafuzi wa mazingira. Huwezi kuwapigia kelele watu wamelala kwa kisingizio cha kuwapa mawaidha au injili.

Hata hivyo serikali imefeli kutenga maendeo maalumu ya nyumba za sala, ibada na swala.
 
Back
Top Bottom