Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mabomba ndo nini?Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu, usiku mchana linapiga kwaya
Wanatumia mabomba katika ibada zao. hawajui watu wamelala au wako macho wao ibada kwenda mbele
Wakati mwengine hufika saa 8 usiku wakiwa katika ibada kwa kutumia mabomba.
Nifanyeje?
hawa ni walokole
Lakini bado kwa mujibu wa sheria waweza kuwashitaki.