KERO Kanisa hili linanikera; nifanyeje?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mabomba ndo nini?
Lakini bado kwa mujibu wa sheria waweza kuwashitaki.
 
Na walivyokua hawana akili hawafanyi kazi ila utaskia kuna nyimbo yao moja wanaimba " Haloo mbinguni nataka gari, Halloo mbinguni nataka Ist"
Yani gari ya maana kwao ni Ist
 
Nani anapima hicho kiasi na hekima?
Kiasi kwa mwingine ni masaa matatu na kwa mwingine ni dakika 10 n.k
Kuna maeneo ya ibada na kuna maeneo ya makazi. Unapokuwa kwenye makazi lazima uendane na ustaarabu wa hilo eneo
 
Leo wapo dirishan kwako kesho wataingia Hadi chumbani mkuu ,kuwa nao makini hao
 
Hili tatizo ni kubwa sana mjini Tunduma. Ukiwa lodge za Tunduma unaweza usilale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…