Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unaelewa ila umeamua kujitoa ufahamu.Wakatoliki siku hizi bado tu padri anasamehe dhambi? Na bado Yesu ni Mungu hadi leo?nilikuwa navutiwa sana unapoenda kwa padri huku umeweka mikono kifuani unaanza "Namuungamia Mungu wangu nawe padri wangu tangu majuma sita sijaungama na dhambi zangu ni hizi niliba nazi,nilitukana,nilitapeli simu nk mwishoni padri anaongea kwa mamlaka Mwenyezi Mungu amekusamehe dhambi zako zote nenda kasali baba yetu mara 4 na salamu maria 6
Bado tupo hivyo hivyo na hatujagawanyikaWakatoliki siku hizi bado tu padri anasamehe dhambi? Na bado Yesu ni Mungu hadi leo?nilikuwa navutiwa sana unapoenda kwa padri huku umeweka mikono kifuani unaanza "Namuungamia Mungu wangu nawe padri wangu tangu majuma sita sijaungama na dhambi zangu ni hizi niliba nazi,nilitukana,nilitapeli simu nk mwishoni padri anaongea kwa mamlaka Mwenyezi Mungu amekusamehe dhambi zako zote nenda kasali baba yetu mara 4 na salamu maria 6
Wakatoliki siku hizi bado tu padri anasamehe dhambi? Na bado Yesu ni Mungu hadi leo?nilikuwa navutiwa sana unapoenda kwa padri huku umeweka mikono kifuani unaanza "Namuungamia Mungu wangu nawe padri wangu tangu majuma sita sijaungama na dhambi zangu ni hizi niliba nazi,nilitukana,nilitapeli simu nk mwishoni padri anaongea kwa mamlaka Mwenyezi Mungu amekusamehe dhambi zako zote nenda kasali baba yetu mara 4 na salamu maria 6
Kongwa haipo kwenye jiji la dodoma ni halmashàuri inayojitegemeaKanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.
Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo nchini.
Kuanzishwa kwa kanisa hili kunatajwa kurejesha na kusimamia misingi ya Kanisa la Anglikana kama ilivyokuwa miaka 60 kabla kwa mujibu wao.
Akizungumza na wanahabari, Askofu wa kanisa hilo, Elibariki Kutta amesema kuanzishwa kwa jimbo hilo jipya hakumaanishi kuwa kanisa la Anglikana limemeguka, bali inatanua wigo kwa waumini kuamua wasimame na imani ipi.
“Anglikana haijameguka. Ni moja, ila uhuru wa wewe unataka kuwa na mtazamo gani au njia ipi katika maono yako,” amesema Kutta.
Amesema kuanzishwa kwa kanisa hilo haimaanishi kuwa wameondoka Anglikana lakini wanajaribu kusimama katika misingi ya kanisa mama la Kianglikana.
Ukute ni kanisa la NdugaiYani haya mimi sijamuelewa
Salimia watu upewe contactNimelielewa sana hili kanisaView attachment 3089064
Pisikali namba ipo Wapi?Salimia watu upewe contact
Namba Mkuu achia Namba vizuri unakula na wenzioOngea kwa herufi kubwa
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mbingu na ardhi, kwanini usingetafuta kichwa kinachoendana na hayo maelezo uloandika hapo? Au kila kitu ni kiki?Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.