Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mbingu na ardhi, kwanini usingetafuta kichwa kinachoendana na hayo maelezo uloandika hapo? Au kila kitu ni kiki?
Hiyo habari nimeichukua kama ilivyo kwenye gazeti la mwananchi.. error ndogo iliyotokea ni tarehw ya uzinduzi ambapo heading inasema sept 5 badala ya 15.
Nimereport kwa Moderator sioni masahihisho yoyote
 
Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.

Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo nchini.

Kuanzishwa kwa kanisa hili kunatajwa kurejesha na kusimamia misingi ya Kanisa la Anglikana kama ilivyokuwa miaka 60 kabla kwa mujibu wao.

Akizungumza na wanahabari, Askofu wa kanisa hilo, Elibariki Kutta amesema kuanzishwa kwa jimbo hilo jipya hakumaanishi kuwa kanisa la Anglikana limemeguka, bali inatanua wigo kwa waumini kuamua wasimame na imani ipi.

“Anglikana haijameguka. Ni moja, ila uhuru wa wewe unataka kuwa na mtazamo gani au njia ipi katika maono yako,” amesema Kutta.

Amesema kuanzishwa kwa kanisa hilo haimaanishi kuwa wameondoka Anglikana lakini wanajaribu kusimama katika misingi ya kanisa mama la Kianglikana.

Huyo dada ana cheo hani
 
mama Askofu nyonyo ziko nje mbona
 
Makanisa kama uyoga.Hakuna dini ni Tamaa ya pesa tu.
 
Mwamposa katika Anglicana hapa watakusanya sadaka kwa faida yao wenyewe
 
Mbona nikimtizama kwa jicho la kiroho sioni upako wowote kwake zaidi ya kuanzisha Hilo kanisa kwa ajili ya upigaji wa sadaka?

Naona kama kikundi Cha wahuni walioasi
 
Wakatoliki siku hizi bado tu padri anasamehe dhambi? Na bado Yesu ni Mungu hadi leo?nilikuwa navutiwa sana unapoenda kwa padri huku umeweka mikono kifuani unaanza "Namuungamia Mungu wangu nawe padri wangu tangu majuma sita sijaungama na dhambi zangu ni hizi niliba nazi,nilitukana,nilitapeli simu nk mwishoni padri anaongea kwa mamlaka Mwenyezi Mungu amekusamehe dhambi zako zote nenda kasali baba yetu mara 4 na salamu maria 6
Tuko pale pale toka miaka 2000+ na tutakuwepo mpaka kiama.
Tukuulize wewe mfuasi wa kiboko ya wachawi, bado mko buza?
 
Kuna siku nikiwa mdogo nilienda kuungama kwa Padre nikamwambia kwa kauli ya kudogosha "niliiba kaembe kadogo, nilichukua chenji ndogo ya 200". Padre akanikaripia kama kaembe kalikuwa kadogo uliiba kwanini, si usingeiba.
😂 dah
 
Mbona nikimtizama kwa jicho la kiroho sioni upako wowote kwake zaidi ya kuanzisha Hilo kanisa kwa ajili ya upigaji wa sadaka?

Naona kama kikundi Cha wahuni walioasi
Yuko na mchuchu pembeni kifua wazi kiaina.

Hapo ndipo alipofeli askofu wangu. Ni ishara tosha kuwa anayaelewa zaidi ya chini ya gauni.
 
Wakatoliki siku hizi bado tu padri anasamehe dhambi? Na bado Yesu ni Mungu hadi leo?nilikuwa navutiwa sana unapoenda kwa padri huku umeweka mikono kifuani unaanza "Namuungamia Mungu wangu nawe padri wangu tangu majuma sita sijaungama na dhambi zangu ni hizi niliba nazi,nilitukana,nilitapeli simu nk mwishoni padri anaongea kwa mamlaka Mwenyezi Mungu amekusamehe dhambi zako zote nenda kasali baba yetu mara 4 na salamu maria 6
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yuko na mchuchu pembeni kifua wazi kiaina.

Hapo ndipo alipofeli askofu wangu. Ni ishara tosha kuwa anayaelewa zaidi ya chini ya gauni.
😄😄 Yaani hapo ni sawa na NABII TITO Bora huyo mwanamke asingemweka
 
Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma.

Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo nchini.

Kuanzishwa kwa kanisa hili kunatajwa kurejesha na kusimamia misingi ya Kanisa la Anglikana kama ilivyokuwa miaka 60 kabla kwa mujibu wao.

Akizungumza na wanahabari, Askofu wa kanisa hilo, Elibariki Kutta amesema kuanzishwa kwa jimbo hilo jipya hakumaanishi kuwa kanisa la Anglikana limemeguka, bali inatanua wigo kwa waumini kuamua wasimame na imani ipi.

“Anglikana haijameguka. Ni moja, ila uhuru wa wewe unataka kuwa na mtazamo gani au njia ipi katika maono yako,” amesema Kutta.

Amesema kuanzishwa kwa kanisa hilo haimaanishi kuwa wameondoka Anglikana lakini wanajaribu kusimama katika misingi ya kanisa mama la Kianglikana.

Huyo demu chuchu kaziacha nje anajiuza??
 
Back
Top Bottom