Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

Kumbe unaelewa ila umeamua kujitoa ufahamu.
 
Bado tupo hivyo hivyo na hatujagawanyika
 

..mimi sio Mkatoliki, lakini nadhani kuungama dhambi kwa dhati ni jambo kubwa sana kiimani.

..watu wanakwenda kinyume na mafundisho ya dini tena, na tena, na tena, wakisubiri kuwajibishwa watakapokwenda mbele za MUNGU.
 
Kongwa haipo kwenye jiji la dodoma ni halmashàuri inayojitegemea
 
Hakuna jipya, wewe kariri kuwa "ukristu ni biashara". Wewe jiulize kuwa lile kanisa alilosema Yesu ni lipi? Mimi silioni, ni mauzauza tu.
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mbingu na ardhi, kwanini usingetafuta kichwa kinachoendana na hayo maelezo uloandika hapo? Au kila kitu ni kiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…