Kweli ndio maan hatutoi mapepo kwa waliopagawa.Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya.m vizuri.
Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini.
Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio kupata faida ya fedha, basi Kanisa liwekeze kwenye shule na vyuo vikuu maaalumu kwa ajili ya elimu maalumu.
Kanisa lijijite zaidi ku-establish centers of excellence. Huo ndio wito wa Kanisa, kujipambanua na Ulimwengu.
Tatizo la mapepo utaliona zaidi kwa watu wasiomjua vizuri Yesu Kristo na Wokovu wake. Pia ni tatizo la ujinga kwa kiasi flani kikubwa tu.Kweli ndio maan hatutoi mapepo kwa waliopagawa.
Hatuombei kujazwa roho mtakatifu wala hatuamini kunena kwa lugha.
Katika Biblia, kuna mifano ambapo watu walijazwa Roho Mtakatifu kwa kuombewa, kama vile katika Matendo 8:14-17, ambapo mitume Petro na Yohana waliwaombea Wasamaria ili wapokee Roho Mtakatifu.Tatizo la mapepo utaliona zaidi kwa watu wasiomjua vizuri Yesu Kristo na Wokovu wake. Pia ni tatizo la ujinga kwa kiasi flani kikubwa tu.
Roho Mtakatifu haji kwa kuombewa, mtu anapaswa kumkaribisha Roho Mtakatifu na kukubali kuishi na kufanya naye kazi.
Kunena kwa lugha ni kumpokea Roho Mtakatifu na kutenda naye kazi za Kimungu na sio kuropoka na kuongea lugha zisizoeleweka.
Kumbe dhambi zao wanamueleza Padri alaf na yeye anazichukua na kuzipeleka wapi sasa, au kwa kuhani mkuu? Hata sielewi jaman,Nimedhani ungeshauri watu wasimweleze padri makosa yao ili mungu mkatoliki awasamehe kumbe umeandika UJINGA.
Katika imani ya Kikatoliki, waumini wanatubu dhambi zao kwa padri badala ya moja kwa moja kwa Mungu kwa sababu ya mafundisho yao kuhusu Sakramenti ya Kitubio (Upatanisho). Hii inatokana na mafundisho na Mapokeo ya Kanisa na si MUNGU.Kumbe dhambi zao wanamueleza Padri alaf na yeye anazichukua na kuzipeleka wapi sasa, au kwa kuhani mkuu? Hata sielewi jaman,
Kabisa, wokovu lazima mtu autake mwenyewe na hata kuufanyia kazi flani ya kiroho, huwezi kusema Yesu alishamaliza yote halafu unaendelea na dhambi ukategemea wokovu, lazima utende pia. Yesu alisema imani tu bila matendo ni bure. Tunakombolewa kwa neema ndio lakini kuna matendo au kazi tunapaswa kufanya pia tukisaidiwa na neema ya Yesu.Katika Biblia, kuna mifano ambapo watu walijazwa Roho Mtakatifu kwa kuombewa, kama vile katika Matendo 8:14-17, ambapo mitume Petro na Yohana waliwaombea Wasamaria ili wapokee Roho Mtakatifu.
Pia katika Matendo 19:6, Paulo alipoweka mikono yake juu ya wanafunzi wa Efeso, walipokea Roho Mtakatifu.
Hata hivyo, kuna pia mifano ya watu waliopokea Roho Mtakatifu bila kuombewa na mtu mwingine, kama vile wanafunzi wa Yesu kwenye Matendo 2:1-4 siku ya Pentekoste.
Kwa hiyo, fazili ingawa mtu anaweza kujazwa Roho Mtakatifu kupitia maombi ya wengine, jambo muhimu ni moyo ulio tayari kumpokea Mungu, toba ya kweli, na imani thabiti. Roho mtakatifu haji tu kwa ubarikio, kipaimara wala komunyo, acha kusomewa neno, soma , elewa.
Sasa hapa ndio napata kuelewa, ndio maana Rumi bado ina nguvuKatika imani ya Kikatoliki, waumini wanatubu dhambi zao kwa padri badala ya moja kwa moja kwa Mungu kwa sababu ya mafundisho yao kuhusu Sakramenti ya Kitubio (Upatanisho). Hii inatokana na mafundisho na Mapokeo ya Kanisa na si MUNGU.
Rumi ya kale ni dola na Serikali hivyo , watu waliambiwa watubu kwa padre na warumi walipata siri nyingi zilizowasaidia kuitawala karibu dunia yote.
Jisomee Jesuit, utaelewa.Sasa hapa ndio napata kuelewa, ndio maana Rumi bado ina nguvu
umeandika ujinga, una umri gani wewe?Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri.
Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini.
Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio kupata faida ya fedha, basi Kanisa liwekeze kwenye shule na vyuo vikuu maaalumu kwa ajili ya elimu maalumu.
Kanisa lijikite zaidi ku-establish centers of excellence. Huo ndio wito wa Kanisa, kujipambanua na Ulimwengu.
Pangua hoja siyo mleta hoja.umeandika ujinga, una umri gani wewe?
Unaweza kusema ujinga upo kwenye kipi hasa ama wewe ndio mjinga mkubwa.umeandika ujinga, una umri gani wewe?
Wasimweleze Padri ila kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya live TV broadcasting, wauelezee umati wa watu ushuhuda wao wa dhambi walizotenda!Nimedhani ungeshauri watu wasimweleze padri makosa yao ili mungu mkatoliki awasamehe kumbe umeandika UJINGA.