Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA liliwajibu kwamba ni vema waache kuandika nyaraka kuliko kuandika kitu ambacho kimeandaliwa na serikali kwa manufaa ya watawala.
Sasa naona Kuna Kila dalili za kuanzisha chokochoko dhidi ya KANISA KATOLIKI. Hao ambao wanaotumia vyeo vyao kulijibu KANISA KATOLIKI ni vema wakafahamu kwamba Lile baraza la TEC limejaa wasome, wenye uelewa mpana kwenye Mambo ya kidini na kidunia. Huyo ambaye amejitoa kufahamu na kuanzia kulishambulia KANISA ni vema aakafaham kwamba siku zake kwenye nafasi aliyonayo zinahesabiwa.
Kanisa katoliki HALINA MORAL AUTHORITY kuionya serikali kwa namna yoyote ile, kwa sababu zifuatazo:
1. Kanisa katoliki limejaa ukiukaji mkubwa saba wa HAKI ZA BINADAMU.
2. Limejaa DHURUMA nyingi mpaka watu wake wanajinyonga.
3. Limejaa utapeli na WIZI wa kukusanya pesa toka kwa waumini wake kwa michango mingi, bila report ya mapato na matumizi.
4. Limejaa WIZI na matumizi MABAYA ya pesa toka kwa wafadhiri, ambazo hutumika kuwajengea mahawala zao nyumba.
5. Limejaa USHOGA.Wanasema waseja wasiooa, kumbe mashoga tu.
6. Limejaa ubakaji kwa wanawake na wanaume.
7. Limejaa dhuruma kwa watoto kwa kuwaharibu, KUWALAWITI. HII NI DHAMBI NA DHURUMA KUBWA SANA.
8. Limejaa ukwepaji na matumizi mabaya ya misamaha ya kodi.
9. Wanasema waseja, lakini uhalisia wengi wameoa KWA SIRI na wanafamilia/watoto.
10. Limejaa UDIKTETA, hakuna demokrasia ndani ya kanisa katoliki.
SWALI: Je watu wapuuzi,matapeli na waongo kama hawa wanaweza kuinyoshea kidole serikali?
The answer is absolutely NO NO!
NB: Waache mchezo wa kuandika NYARAKA ZENYE KUITUHUMU SERIKALI. Wajikite kusafisha makandokando na upuuzi wao. Serikali ni ya watanzania wote, siyo ya wakatoliki tu.