Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Duh...Wahuni😳 Wahuni labda kwenye ukoo wenu na huko unaposali wewe! Kanisa Katoliki toka Lianzishwe 33 AD mpaka Leo alijawai kubadilika na pia alijawai gawanyika ,Kanisa Katoliki aliogopi serikali ya aina yeyote ile- ata Baba ako awamwogopi kama unavyomwogopa wewe. Na pia akuna kilaza. kama Ulivyo ukoo wenu. Kuna Mtawala wa nchi fulani kutokana na ukali wa askofu wa jimbo lake alimtengenezea Zengwe kuwa sio raia wa nchi ile..... Ibada ya Mazishi ya kiongozi huyo Askofu alieambiwa sio Raia ndo aliongoza. Katoliki lina Mapadre Wasomi na Wabobezi kwenye sekta zote including Political science. Pandre yeyote wa kikatoliki lazima awe na Degree 2 kabla ya kupewa Daraja la updare. Na Awana shobo kwama wachungaji wako wanaolamba miguu ya wana siasa.Pia Kanisa limeshadeal na Wanasiasa zaidi ya miaka 1500. Na Historia imejaa adithi nyingi tu za Watawala waliojaribu kupambana na Kanisa Katoliki na akuna ata mmoja alieweza lishinda. Yana Mwisho
Ile amri ya ndoa ya Y vs Y na X vs X ikikufikia usianze kujitetea na kuwakandia hao unaowaita wenye IQ kubwa.
Ni maoni tu...