T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mraibu gani anapata hela ya kudhamini wauaji, mtu hata kama kusoma hujui hata picha huoni.Kuna wale waliokua wanaleta taarifa za uongo sijui ni mraibu alisoma na paroko msaidizi , waje humu.
Watanzania wengi huwa tunatoa maamuzi kishabiki. Hatuna kabisa tabia ya kuangalia mambo kwa ukweli wake bali tunaongozwa na hisia za mhusika ana uhusiano gani na mimi au jamii yangu au chama changu au kabila langu. Kiongozi wa dini kufanya hili ni jambo la ajabu na aibu lakini siyo dini yake au kanisa lake limefanyaSasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Udahili gani? Hawa wanaofanya uzinzi na wake za watu tena ambao wamewafungisha ndoa huwaoni wamejaa huku mtaani? Kuna ambaye siku za nyuma alitapeliwa na mganga wa kienyeji. Sijui ile kesi iliishia wapi?Padre kufikia hatua hiyo ina maana kuna shida kwenye udahili wa hawa viongozi wa KANISA, watu wanaingia upadre bila wito bali shida za familia zao ndio zinawapeleka kanisani kwa imani ya maisha mazuri.
Kwanini unadhani ni lazima wajue? Hili siyo la kweli.Jeshi la polisi linapaswa kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya mtoto huyu! Huenda unyama huo utakuwa ulitekelezwa hapo kwenye nyumba ya mapadri. Chunguzeni na hao mapadri wenzake, huenda ndo dili zao. Haiwezekani, padri mwenzao atuhumiwe kufanya unyama huo, wenzake nyumba moja wasiweze kujua!
Ni mlevi tu"walisikika walevi wenzie parokianiSasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Wekeni ushahidi wa gazeti hilo na barua ya askofu.Sasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Hivi kwani kuna tofauti gani kati ya ukatoliki na ushirikina? They're quite synonymous, to say the least.
Never ever mistaken people's plausible-sounding words for a noble character.
Huyu Fr nilishakutana naye huku Dar kama miezi SITA iliyopita na akajitambulisha kwetu (Mimi na wengine kwamba ni padri wa Jimbo la Bukoba). Huku alidai alikuwa yuko likizo kwa ndugu yake, lakini mimi sikuamini kama yuko kwenye huduma. Wakati huo alikuwa amevaa ndala zimechoka na zina vumbi sana na pia alikuwa hata kama ni asubuhi anaoneka a kama amelewa. Niliwaambia wenzangu kwamba, kama ni padri huenda amesimamishwa. Na picha yake ni kama hii. Anyway, labda alisharudi kundini, lakini kwa jinsi alivyokuwa kipindi hicho kwa kweli sidhani kama alikuwa akihudumu. Hata nywele zenyewe alikuwa kama hajawahi kuchana kwa siku kadhaa.Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.
Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la Kiongozi linalotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), toleo lake la Juni 21 -27, 2024
Gazeti hilo limemnukuu Askofu Mwijage akikiri kuwa mtuhumiwa ni padri wa jimbo lake na amemsimamisha kutoa huduma zote za kichungaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Tunahuzunishwa na taarifa ya mauaji ya Asimwe, kwani sisi kama Kanisa Katoliki ni walinzi wa kwanza wa uhai wa wanadamu. Tunaiombea familia yake na kuiombea roho yake ipate pumzio la amani mbinguni.
“Hata hivyo, tumesikia taarifa ya watuhumiwa na mmojawapo akiwa ni Padri Rwegoshora. Ni kweli padri huyo ni wa jimbo Katoliki Bukoba na tumechua uamuazi wa kumsimamisha kutoa huduma zote za kichugaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Baada ya vyombo vya sheria kumaliza kazi yake, ndipo taratibu nyingine za kanisa zitafuata,” amesema Askofu Mwijage.
Asimwe menye umri wa miaka miwili na nusu alinyakuliwa mikononi mwa mama yake na watu wasiojulikana Mei 30, 2024 katika Kijiji cha Bulamula, Muleba mkoani Kagera.
Chanzo: Mwananchi
Wewe unavyoamini padre mshirikina ni huyu pekee?
Huyu Fr nilishakutana naye huku Dar kama miezi SITA iliyopita na akajitambulisha kwetu (Mimi na wengine kwamba ni padri wa Jimbo la Bukoba). Huku alidai alikuwa yuko likizo kwa ndugu yake, lakini mimi sikuamini kama yuko kwenye huduma. Wakati huo alikuwa amevaa ndala zimechoka na zina vumbi sana na pia alikuwa hata kama ni asubuhi anaoneka a kama amelewa. Niliwaambia wenzangu kwamba, kama ni padri huenda amesimamishwa. Na picha yake ni kama hii. Anyway, labda alisharudi kundini, lakini kwa jinsi alivyokuwa kipindi hicho kwa kweli sidhani kama alikuwa akihudumu. Hata nywele zenyewe alikuwa kama hajawahi kuchana kwa siku kadhaa.
Acha ujinga weka barua humu.Kuna wale waliokua wanaleta taarifa za uongo sijui ni mraibu alisoma na paroko msaidizi , waje humu.
Oh ndiyo maana watu walisema ni mlevi fulani tu.Huyu Fr nilishakutana naye huku Dar kama miezi SITA iliyopita na akajitambulisha kwetu (Mimi na wengine kwamba ni padri wa Jimbo la Bukoba). Huku alidai alikuwa yuko likizo kwa ndugu yake, lakini mimi sikuamini kama yuko kwenye huduma. Wakati huo alikuwa amevaa ndala zimechoka na zina vumbi sana na pia alikuwa hata kama ni asubuhi anaoneka a kama amelewa. Niliwaambia wenzangu kwamba, kama ni padri huenda amesimamishwa. Na picha yake ni kama hii. Anyway, labda alisharudi kundini, lakini kwa jinsi alivyokuwa kipindi hicho kwa kweli sidhani kama alikuwa akihudumu. Hata nywele zenyewe alikuwa kama hajawahi kuchana kwa siku kadhaa.
Kuna maovu makubwa ndani ya kanisa sema tu watu wamepumbazwa kuwa wao ni watenda mema.Umeacha lini kwenda Jumuiya
Askofu WA Babati copy imfikie mpuuzi mkubwaSasa kwa taarifa hii, wale wote waliokuwa wakitetea na kukanusha kwa kubana pua zao kuwa Rwegoshora si padre wa kanisa Katoliki, watazificha wapi sura zao, au wataingia tu mitini kama ilivyo desturi kwa watu waongo na wazandiki?
Hapana. Tatizo haliko huko maana hata mimi nimepitia hayo malezi miaka 9 na kufanya utume miaka 5. Ingawa chuo nilichosoma nilisoma pia liberation theology na pia contextual theology, lakini kwa uzoefu wangu formation Iko vizuri ila sasa kwa chuo nilichosoma mimi ilikuwa "very academic" na cross-cultural. Nilisoma chuo ambacho tulikuwa tunasoma wanafunzi kutoka mataifa 27 duniani na watu tofautitofauti - na kutoka nyanja mbalimbali na jinsia tofauti.Ipo shida kubwa kwenye maandalizi ya hawa mapadri. Na siku hizi wanatumia sana Liberation theology. ilitumiwa mno Centra and Southern America after second Vatical council, kuhalalisha blending ya ukomunist na ukristu. Ukristu hauko compatible na ukomunisti hata siku moja
Hongera Baba Askofu MwijageKanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.
Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la Kiongozi linalotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), toleo lake la Juni 21 -27, 2024
Gazeti hilo limemnukuu Askofu Mwijage akikiri kuwa mtuhumiwa ni padri wa jimbo lake na amemsimamisha kutoa huduma zote za kichungaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Tunahuzunishwa na taarifa ya mauaji ya Asimwe, kwani sisi kama Kanisa Katoliki ni walinzi wa kwanza wa uhai wa wanadamu. Tunaiombea familia yake na kuiombea roho yake ipate pumzio la amani mbinguni.
“Hata hivyo, tumesikia taarifa ya watuhumiwa na mmojawapo akiwa ni Padri Rwegoshora. Ni kweli padri huyo ni wa jimbo Katoliki Bukoba na tumechua uamuazi wa kumsimamisha kutoa huduma zote za kichugaji mpaka hapo suala lake litakaposhughulikiwa na vyombo vya sheria.
“Baada ya vyombo vya sheria kumaliza kazi yake, ndipo taratibu nyingine za kanisa zitafuata,” amesema Askofu Mwijage.
Asimwe menye umri wa miaka miwili na nusu alinyakuliwa mikononi mwa mama yake na watu wasiojulikana Mei 30, 2024 katika Kijiji cha Bulamula, Muleba mkoani Kagera.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma
- Mtoto Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita akutwa amefariki na mwili kufungwa kwenye mfuko
- Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais
- Tumeshindwa kumlinda Asimwe
- Kufuta mauaji ya albino, ni kutokomeza kabisa Waganga wapiga ramli
- KWELI - Fr. Elipidius Rwegoshora, ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Asimwe Novath, ni Padri katika Jimbo la Bukoba
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Askofu Jimbo katoliki Babati njoo huku na ujinga wakoKuna wale waliokua wanaleta taarifa za uongo sijui ni mraibu alisoma na paroko msaidizi , waje humu.
Nionyeshe hy commentMmoja wapo ni wewe
Tuta hiloVAR inasemaje?