Wekeni ushahidi wa gazeti hilo na barua ya askofu.
Padiri punguza munkariFuc.k u
Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na kuwaelewesha wazee Mafia + Zanzbar,hawa wanaonaga Dini za wenzao hazina thamani kwao...huwezi bishana na wala Ngamia na wavaa kobazii.Watanzania wengi huwa tunatoa maamuzi kishabiki. Hatuna kabisa tabia ya kuangalia mambo kwa ukweli wake bali tunaongozwa na hisia za mhusika ana uhusiano gani na mimi au jamii yangu au chama changu au kabila langu. Kiongozi wa dini kufanya hili ni jambo la ajabu na aibu lakini siyo dini yake au kanisa lake limefanya
Wewe na mke wako mkibarikiwa kupata watoto kadhaa na kisha baadhi kuwa na mwenendo usiofaa, huwa uzazi wenu/malezi watoto wenu yanakuwa ya mchongo? Ukinunua magari kadhaa na kuyamiliki na kisha baadhi ya magari yako yakapata ajali, huwa manunuzi yako yanakuwa ya mchongo?Izi Dini mbona kama zinaelekea kuonekana kama ni za kimichongo sana....Miaka si mingi ukweli utajulikana
Ndio ngoja nifunue bible nisome Wakolosai 2:16-23 wewe unaweza anzia kusoma Wakolosai 2:4-23Kuna maovu makubwa ndani ya kanisa sema tu watu wamepumbazwa kuwa wao ni watenda mema.
Huyo Msaidiz anamsaidia nani?Paroko ni Paroko tu,hakuna Paroko Mkuu
Unaendaga kanisani au ushatembelea wajenzi kuna Fundi na Saidia Fundi, Saidia Fundi unajua kazi yake ni nini? Kupokea maelekezo kutoka kwa Fundi Mkuu, sasa hio ndio kazi ya Paroko MsaidiziHuyo Msaidiz anamsaidia nani?
Fundi Mkuu ni nan?Unaendaga kanisani au ushatembelea wajenzi kuna Fundi na Saidia Fundi, Saidia Fundi unajua kazi yake ni nini? Kupokea maelekezo kutoka kwa Fundi Mkuu, sasa hio ndio kazi ya Paroko Msaidizi
Samaki 1 akioza kapu lote linatoa uvundoPadre umeharibu.
Narudia, Padre umeharibu.
Hayo maswali mengine nenda ukawaulize wenyewe Mimi nimekujibu kwa uelewa wangu, Mambo ya kanisa nilishaacha kujihusisha kitambo sana Mambo ya kujaziana makaunta book kibao nani anataka? Michango mfululizo mpaka unapagawa michango haiishi ikitoka hii inaingia hii mwendo wa michango alafu wanaochangiwa ndio hao wanaenda kumcharanga albino nani anataka? Waulize wenyeweFundi Mkuu ni nan?
Huo ni wajibu. Huwezi ukahitaji huduma inayogharimu fedha nyingi halafu wewe upo upo tu, huchangi ila kazi kulalamika. Benchi moja la kukaa watu sita gharama yake ni Tsh. milioni moja, sasa nani akutolee ukalie benchi? Mambo mengine yanahitaji akili, bila akili mnaweza kubishana na mwehu hadi asubuhiYangekua hayalazimishwi tusingekua tunatishiana mambo ya misa siku ya mazishi.....watu wanakomaa hadi mishipa inawatoka kwenye mimbali kisa senti
Hii nguvu nyingi inayotumika hapa Wala haiitajiki. Tusubiri mbovu na mbichi. Wala hakuna aliuejua kuwa padri atafanya hivi. Naona unatumia nguvu nyingi ya kimaarifa kuweka mizania fulani kuwa tusubiri mpka mahakama imtie hatiani mtuhumiwa. Wewe acha subiri tuone kitakachotokea. Kama kafanya ahukumiwe.1. Fr hapa ametajwa kama mtuhumiwa wa kushiriki mauaji. 2. Hakuna muuaji bado aliyetajwa. 3. Polisi watakusanya ushahidi na kama utakuwa na uzito 4. watuhumiwa watakuwa na kesi ya kujibu. 5. Kutafuta utetezi kwa jinsi gani wao si wahusika. 6. Mahakama itapima ni ushahidi wa upande gani na ni wa nani unamtia hatiani. 7. Itatoa hukumu na adhabu. 8. Atakaye ona hajaridhika atakata rufaa. 9. Hivyo, kutoa hukumu kwa sasa na kuwaona watuhumiwa kama wenye hatia ni kuonyesha tu hatujui Katiba, sheria ya kanuni ya adhabu na ya mwendo wa makosa ya jinai zinasemaje. 10. Na mbaya zaidi katika mambo haya tunakimbilia kunyoosheana vidole kutokana na chuki za kiimani tunazo'entertain'. Bure kabisa!
Maandalizi kwa vijana hadi kufikia upadri yamejaa unafiki kwa kiwango kikubwa. Hivyo, nivigumu sana kupata watu sahihi! Anaye waandaa, anaishi kinafiki! Wanao andaliwa, nao inabidi kuishi kinafiki ili kuweza kufikia lengo lao! Haya ndo matokeo, padri mtuhumiwa wa kudhamini mauaji ya mtoto mwenye albinism.....aibu na fedheha kubwa kwa daraja la upadri na kanisa katoliki!Sio tu kuharibu. Sisi wafuasi tunataka kujua mengi zaidi kuhusu yanayoendelea katika kuwaandaa na kuwaoa hawa watu upadre. Kuna signs ambazo huwa hazijifichi za mtu ambaye yuko sehemu sio sahihi.
That's what you're saying. I just respond to an issue the way it's reported. I have no interest in it. Kwa hiyo, na wewe unatumia nguvu nyingi ya nini, kwamba ukituhumiwa tu ndiyo umetenda kosa?Hii
Hii nguvu nyingi inayotumika hapa Wala haiitajiki. Tusubiri mbovu na mbichi. Wala hakuna aliuejua kuwa padri atafanya hivi. Naona unatumia nguvu nyingi ya kimaarifa kuweka mizania fulani kuwa tusubiri mpka mahakama imtie hatiani mtuhumiwa. Wewe acha subiri tuone kitakachotokea. Kama kafanya ahukumiwe.
Mimi Mkatoliki toka mwanzo nilisimama na kauli iliyotolewa mwanzo na geshi la polisi kwamba muhusika wa mauaji hayo anahisiwia kuwa padre wa Kanisa Katoliki na nitaamini hivyo mpaka itakaposemwa vingine.wagalatia tumeyatimba wallah, tutaficha wapi nyuso zetu ephen_?
Yakibainika ndiyo vizuri,hiki ni kisasi cha Mungu kwa wale wanaojifanya kulitaja taja jina lake hovyo huku wakiishi tofauti na kile wanachokihubiri.Kuna mambo mengine si ya kuyabaini mkuu.. Imani zitakufaa...
Bado tunakula marupurupu ya ukoloniHuo ni wajibu. Huwezi ukahitaji huduma inayogharimu fedha nyingi halafu wewe upo upo tu, huchangi ila kazi kulalamika. Benchi moja la kukaa watu sita gharama yake ni Tsh. milioni moja, sasa nani akutolee ukalie benchi? Mambo mengine yanahitaji akili, bila akili mnaweza kubishana na mwehu hadi asubuhi
Wewe bikra yako alikutoa nani?Unatumia nguvu nyingi sana kubishana na kuwaelewesha wazee Mafia + Zanzbar,hawa wanaonaga Dini za wenzao hazina thamani kwao...huwezi bishana na wala Ngamia na wavaa kobazii.
Hawa ni Wafia dini,hachana na mtu anae jitoa kafara kwa kujivika Mabomu aache ameua wenzake msikitini au makanisani akiamini akifa kifo hicho anaelekea peponi na atapewa Zawadi ya MABIKRA 100 wawe wake peke Yake.
Uganda wako wengi tu wenye hiyo surnamehilo jina lina ukakasi kwenye uraia, nimewaza tu.