Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kwa daktari gani ambaye wewe ulienda kupima kwake?Kapime akili
Kwa daktari gani ambaye wewe ulienda kupima kwake?Kapime akili
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Lifuteni hilo kanisa Katoliki... Tena lifuteni kwa haraka!Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Haliwezi kufutwa bila sababu. Waambieni wajichanganye kwanza uone!Lifuteni hilo kanisa Katoliki... Tena lifuteni kwa haraka!
Sababu si ndo hiyo... Mnasubiri nini kuwafurusha hao wavaa kanzu?Haliwezi kufutwa bila sababu. Waambieni wajichanganye kwanza uone!
We ni mngese sana. Usilitaje kanisa katoliki kipumbavu hivyo...Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Unafikiri Serikali inakurupuka tu?Sababu si ndo hiyo... Mnasubiri nini kuwafurusha hao wavaa kanzu?
Kwahiyo wewe na matusi yako unataka kusema Kanisa Katoliki linaamini katika kutukana matusi watu waliona msimamo tofauti na wao? Basi sawa. Nimekusoma Katekista!We ni mngese sana. Usilitaje kanisa katoliki kipumbavu hivyo...
Sio kweli kiongozi kwamba hakuna kanisa limewah kufungiwa duniani,mnafanya
we nadhani umetoka usingizini au umetoka washroom. tulia kijana. kilichoongelewa hapo ni kwamba dunia nzima hakuna mwenye uwezo kufungia kanisa KATOLIKI, labda uanze kufungia vatican kule italia. sasa wewe umeibukia wapi unakuja kichwakichwa hata hujui unaenda wapi aisee. kwa hiyo kanisa la makenzie ni kanisa katoliki? dah, pole.Sio kweli kiongozi kwamba hakuna kanisa limewah kufungiwa duniani,
Kanisa la makenzie kenya lilifungiwa mbona
Tujitahid kuwa wakwel na tuwe na kumbukumbu
Mudi weee Mtoto wa Shule naona unawaza mabikira 72 wenye chuchu zenye ncha kali kama za sindanoHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Si rahisi kuwafungia katolikiHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Kwa upande wa ukristo, adui ni Dkt Samia bila kupepesa na ndiyo wa kristo wote wanavyoamini! Kura hapati! Sijui nani alimdanganya. Ngoja tuone kama waislamu watampigia kurataratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Kwasababu wanaheshimu na kufuata sheria.Si rahisi kuwafungia katoliki
Utakuwa mpunga wwHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Wamekodishwa ukumbi, hapo ni pure business.Kufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam.
Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over, kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Baraka Tenge, amesema baada ya usumbufu wa kupata sehemu ya kuabudu sasa wamepata hifadhi hiyo.
View attachment 3420939
Awali baada ya kanisa hilo kifungwa Juni 2, 2025 waumini hao walikiwa wakikusanyika pembeni ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, lakini walifukuzwa na polisi.
Baadaye walitafuta hifadhi katika Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), ambapo pia walifukuzwa na sasa kanisa hilo limevunjwa.
Kisha waumini hao walihamia katika Ukumbi wa Tanzanite uliopo Kimara.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando alisema waumini hao wamemaliza semina hivyo waondoke.
Katika ibada ya leo Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes alishiriki na alihubiri.
View attachment 3420938
Wewe bwabwa!!Utakuwa mpunga ww
Mnawaogopa hao waleta taharuki?Unafikiri Serikali inakurupuka tu?
NDO WAMEANZA KUWAPA NAFASI WAFUASI WA GWAJIMA WAFANYE IBADA KTK MAKANISA YAO!!SO WANAVUNJA SHERIA!KAWAFUNGIENINao waambie waanze kuvunja sheria kwanza. Maana huwezi kuwafungua bila sababu.