std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,411
- 4,200
Mwamposa kachagua kuwa upande wa watesi wetuNi suala la mda tu waumini wote wa Mwamposa watakuwa wa gwajima
Mwamposa kachagua kuwa upande wa watesi wetuNi suala la mda tu waumini wote wa Mwamposa watakuwa wa gwajima
Sawa.Wewe ni mpumbavu
in all honesty your level of reasoning is rather porous.Catholic Church has never supported a Muslim president
Mama yako(Kuna mtu kamuita nyamititi)anakwenda lini kufungia kanisa catholic?.Yani wawekeze miaka miwili mingine kwenye upotevu? Waoneeni huruma miaka waliyokaa kwenye upotevu imetosha msiwaalike kwenye uporevu mpya wa kuomba toba na baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokotoView attachment 3420998
Nina hakika hujui.Unahisi sijui nimeandika nini?
Una kalili maisha sio kila mtu yupo kwenye vyama vyenu hivyo.Bila shaka wewe ndio Mshauri Mkuu wa Siasa hapo Chadema halafu unashangaa kwanini mmefungiwa kuifanya siasa! PUMBAVU!!
Mi siyo mfuasi wa Majizi ya Ccm wala siyo nyumbu wa chademaMama yako(Kuna mtu kamuita nyamititi)anakwenda lini kufungia kanisa catholic?.
hata,hilo halikuwa swali langu.Mi siyo mfuasi wa Majizi ya Ccm wala siyo nyumbu wa chadema
MaviIpo siku utaijua akili yangu.
Kwani yamefungiwa makanisa au kanisa? Na huo uwezo pia serikali inao.....Serikali haina dini na Serikali ndo ambayo imezipa dini uhuru wa kufanya wafanyayo na si namna nyingineSina hakika kama una uwezo wa kuelewa. Kwa hiyo itatokea siku moja misikiti ikafungiwa!!
Hivi ushawahi jiuliza kati ya dini na utawala ni kipi kilitangulia kuwepoKwani yamefungiwa makanisa au kanisa? Na huo uwezo pia serikali inao.....Serikali haina dini na Serikali ndo ambayo imezipa dini uhuru wa kufanya wafanyayo na si namna nyingine
Hawahitajiki kwa kipi?Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
MaaaaviiiiiiiiiiiiiiiiHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Mimi ananiacha hoi ambavyo haambiliki wala hana habari kuwa tumefikia pabaya kama nchi. Kwa kweli inafikirisha sana juu ya uwezo wake.taratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Jaribu kuwafungia romanHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Na mm naomgezeawewe ni mpumbavu kweli, huyo anayelifungia katoliki dunia nzima hajawahi kutokea. hata hivyo, mnafanya hayo kwa chuki dhidi ya ukristo, ndio shida yenu. mashetani wakubwa nyie.
Kanisa la mungu haliguswiKufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam.
Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over, kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Baraka Tenge, amesema baada ya usumbufu wa kupata sehemu ya kuabudu sasa wamepata hifadhi hiyo.
View attachment 3420939
Awali baada ya kanisa hilo kifungwa Juni 2, 2025 waumini hao walikiwa wakikusanyika pembeni ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, lakini walifukuzwa na polisi.
Baadaye walitafuta hifadhi katika Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), ambapo pia walifukuzwa na sasa kanisa hilo limevunjwa.
Kisha waumini hao walihamia katika Ukumbi wa Tanzanite uliopo Kimara.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando alisema waumini hao wamemaliza semina hivyo waondoke.
Katika ibada ya leo Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes alishiriki na alihubiri.
View attachment 3420938
Naongelea kwa hapa maana dini zililetwa na wageni.........huko unapoelekea basi hata ma sangoma watakua na nguvu kuliko serikali maana nao ni watu wa dini japo sio za wageniHivi ushawahi jiuliza kati ya dini na utawala ni kipi kilitangulia kuwepo
Je nikweli unaweza itenganisha dini na utawala?