Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Kweli ww mtoto wa shule
 
Vatican wanayajua hayo....maaskofu wanabadilisha Romani kuwa yakilokole. Kisa siasa🤣🤣🤣
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki!
 
Kumbe wewe ni mpumbafu kanisa katoliki lipo Saud likose kuwepo china? Wakati Kuna mapadre na maaskofu kibao wachina kutokea parokia na majimbo mbali mbali huko china

Na wachina wengi tu ni wakatoliki

the Catholic Church exists in China, but it's a complex situation with two distinct communities: the state-sanctioned "Patriotic Church" and the "Underground Church" that remains loyal to the Vatican. The Chinese government officially recognizes Catholicism as one of five religions, but it strictly monitors its practice through the Chinese Catholic Patriotic Association (CCPA).
 
taratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Hakuna shida yoyote serikalini, shida ni hizo chuki zenu dhidi ya Samia na dini yake. Nchi ipo salama na itaendelea kuwa salama sababu Mungu yupo anayeona yaliyojificha mioyoni kwetu (hila). Sababu ya hila, watu wanajifanya hawaoni sababu za kufungiwa kwa hilo kanisa, pia, wanajifanya hawajui kuwa hiyo sio mara ya kwanza nyumba ya Ibada kufungiwa.

Huyu Mama ndiye Raisi anayepitia magumu kuliko Raisi yeyote yule kuwahi kutokea. Hila, chuki, wivu na Kila aina ya balaa.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Sasa ni wakati wa wakristo kuungana na kupinga udhalimu na uonevu bila ya kuogopa. Historia inajirudia, kanisa limepitia mateso mengi hata hivyo limeendelea kuwa imara na kukua Zaidi. Lazima injili ihubiriwe bila woga.
 
Ukisikia ukichaa ndiyo huu!!

Hivi kuteka na kuua watu ndiyo amani?

Hivi anayeteka watu na kuua, na anayekemea utekaji na mauaji, ni nani anaharibu amani ya nchi?

Au damu za watu mlizozimwaga zimewaharibu hata akili ndogo mlizokuwa nazo?
Mkuu usihangaike na mtu anayeshabikia kutekwa,kubakwa,kulawitiwa na kuuwawa kwa watanzania huyo mtu hawezi akawa sawa kiakili hata usijibizane naye mkuu
 
Hakuna shida yoyote serikalini, shida ni hizo chuki zenu dhidi ya Samia na dini yake. Nchi ipo salama na itaendelea kuwa salama sababu Mungu yupo anayeona yaliyojificha mioyoni kwetu (hila). Sababu ya hila, watu wanajifanya hawaoni sababu za kufungiwa kwa hilo kanisa, pia, wanajifanya hawajui kuwa hiyo sio mara ya kwanza nyumba ya Ibada kufungiwa.

Huyu Mama ndiye Raisi anayepitia magumu kuliko Raisi yeyote yule kuwahi kutokea. Hila, chuki, wivu na Kila aina ya balaa.
Sababu ya kufungiwa kwa kanisa la gwajima ni kukemea mauaji ,utekaji na ubakaji na ufiraji au wewe mwenzetu kuna sababu nyingine unaijua utuambie
 
Rwanda tu hapo wametulizwa na wakatulia......kipindi kile Tshisekedi walitaka kumtibua akawawekea msuli hadi leo wameacha mambo yao.....hao jamaa ukiwaheshimu sana wanakupanda kichwani ila ukibinya sehemu sahihi wanatulia tu
Unalinganisha historia ya Rwanda na DRC na Tanzania? Hizo nchi limepitia na zinapitia pagumu. Tanzania ni watawala kuendekeza udhalimu. Hivi kwa mfano,ni kosa gani alilofanya Gwajima mpaka kusababisha kulifunga kanisa lake?
Serikali inawapa kiki na kulikuza kanisa la Gwajima zaidi kuliko gharama ambayo angeitumia Gwajima kulieneza hilo kanisa lake. Kwa sababu ya kulifunga ni kwa kusema ukweli tu,kitu ambacho tunaumizwa kusimama nacho. Na watu wakweli mara zote huwa ni tishio kwa watawala.
 
Hata Napoleon Bonaparte alikwenda Vatican lakini alikataa kuvishwa taji la kifalme (Ufalme wa Ufaransa) na Papa. Akamnyang'anya na kujivika mwenyewe! Unaifahamu hiyo stori?
Na unaujua na mwisho wake huyo Napoleon? Mateso ya kanisa hayajaanza leo, mbona hapo Zanzibar tumewahi shuhudia makanisa yakichomwa,padri kupigwa risasi na wengine kumwagiwa tindikali, lakini bado limeendelea kuwepo.
 
Unalinganisha historia ya Rwanda na DRC na Tanzania? Hizo nchi limepitia na zinapitia pagumu. Tanzania ni watawala kuendekeza udhalimu. Hivi kwa mfano,ni kosa gani alilofanya Gwajima mpaka kusababisha kulifunga kanisa lake?
Serikali inawapa kiki na kulikuza kanisa la Gwajima zaidi kuliko gharama ambayo angeitumia Gwajima kulieneza hilo kanisa lake. Kwa sababu ya kulifunga ni kwa kusema ukweli tu,kitu ambacho tunaumizwa kusimama nacho. Na watu wakweli mara zote huwa ni tishio kwa watawala.
Kikubwa kafungiwa na serikali ina mamlaka juu ya dini na sio dini kua na mamlaka juu ya serikali
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Hii serikali itaporomoka vibaya sana, alafu wahuni wa Gwajima tutachukua nchi
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Una uhakika unajua unachokisema? Hiyo kula yako ndio inakulevyo namna hii!
 
Back
Top Bottom