Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mwendawazimu kuliko wote kwetu ni Professor yupo Harvard University!Wewe ni kipimo cha uwendawazimu. Kwenye ukoo wenu mwendawazimu ni wewe pekee au wapo na wengine?
Mwendawazimu kuliko wote kwetu ni Professor yupo Harvard University!Wewe ni kipimo cha uwendawazimu. Kwenye ukoo wenu mwendawazimu ni wewe pekee au wapo na wengine?
Kumbe wewe ni mpumbafu kanisa katoliki lipo Saud likose kuwepo china? Wakati Kuna mapadre na maaskofu kibao wachina kutokea parokia na majimbo mbali mbali huko chinaCorrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Unaijua historia ya Kanisa Katoliki wewe au unajisemea tu.Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
KmmkHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
HalleluyaaaahKufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam.
Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over, kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Baraka Tenge, amesema baada ya usumbufu wa kupata sehemu ya kuabudu sasa wamepata hifadhi hiyo.
View attachment 3420939
Awali baada ya kanisa hilo kifungwa Juni 2, 2025 waumini hao walikiwa wakikusanyika pembeni ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, lakini walifukuzwa na polisi.
Baadaye walitafuta hifadhi katika Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), ambapo pia walifukuzwa na sasa kanisa hilo limevunjwa.
Kisha waumini hao walihamia katika Ukumbi wa Tanzanite uliopo Kimara.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando alisema waumini hao wamemaliza semina hivyo waondoke.
Katika ibada ya leo Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes alishiriki na alihubiri.
View attachment 3420938
Samia kayatimbaThe end of Samia
Ngumu serikali wamewekewa trap na katoliki kama serikali wakiingia kichwa kichwa utakuwa ugomvi mkubwa.Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Kufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam.
Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over, kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Baraka Tenge, amesema baada ya usumbufu wa kupata sehemu ya kuabudu sasa wamepata hifadhi hiyo.
View attachment 3420939
Awali baada ya kanisa hilo kifungwa Juni 2, 2025 waumini hao walikiwa wakikusanyika pembeni ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, lakini walifukuzwa na polisi.
Baadaye walitafuta hifadhi katika Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), ambapo pia walifukuzwa na sasa kanisa hilo limevunjwa.
Kisha waumini hao walihamia katika Ukumbi wa Tanzanite uliopo Kimara.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando alisema waumini hao wamemaliza semina hivyo waondoke.
Katika ibada ya leo Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes alishiriki na alihubiri.
View attachment 3420938
Rwanda tu hapo wametulizwa na wakatulia......kipindi kile Tshisekedi walitaka kumtibua akawawekea msuli hadi leo wameacha mambo yao.....hao jamaa ukiwaheshimu sana wanakupanda kichwani ila ukibinya sehemu sahihi wanatulia tuDogo, Rais wako alishakwenda Vatican kuhesabiwa enzi za Papa Francis. Kwa hiyo usilichukulie kwa wepesi Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Hiyo story unaifahamu wewe Mtoto wa Shule. Mimi sina muda wa kuifahamu.Hata Napoleon Bonaparte alikwenda Vatican lakini alikataa kuvishwa taji la kifalme (Ufalme wa Ufaransa) na Papa. Akamnyang'anya na kujivika mwenyewe! Unaifahamu hiyo stori?
Maarufu gongomanMsando atajinyonga
Kumbuka kuna waislam pia nchi hiitaratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Waislam matako tu hao wavaa kobaz hawana la maana wala umuhimu wowote katika hii duniaKumbuka kuna waislam pia nchi hii
Tuone kiburi cha mtu fidenge sasa afungie na catholic church tuone😄Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Kenge weweHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!