spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Wakiungana hivo ile proper gander ya mwezi vs msalaba ndo itahanikizwa sasa na divide and rule itatamalaki
hii furaha yako ni ya muda mfupi tu. kuna siku utakuja kuona aibu hata kurudi hapa jf, labda kama hauna akili.Corrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Wana wa Mungu hawaKufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam.
Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over, kiongozi wa kanisa hilo, Askofu Baraka Tenge, amesema baada ya usumbufu wa kupata sehemu ya kuabudu sasa wamepata hifadhi hiyo.
View attachment 3420939
Awali baada ya kanisa hilo kifungwa Juni 2, 2025 waumini hao walikiwa wakikusanyika pembeni ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, lakini walifukuzwa na polisi.
Baadaye walitafuta hifadhi katika Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), ambapo pia walifukuzwa na sasa kanisa hilo limevunjwa.
Kisha waumini hao walihamia katika Ukumbi wa Tanzanite uliopo Kimara.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando alisema waumini hao wamemaliza semina hivyo waondoke.
Katika ibada ya leo Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu Vernon Fernandes alishiriki na alihubiri.
View attachment 3420938
We kobasi amka ukakojoe,kumekuchaHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Huyu mama na mwenzie jumanne muliro wana udini mkubwa sanaWakiungana hivo ile proper gander ya mwezi vs msalaba ndo itahanikizwa sasa na divide and rule itatamalaki
Ibd ni muwaqilishi wa familiaWewe ni kipimo cha uwendawazimu. Kwenye ukoo wenu mwendawazimu ni wewe pekee au wapo na wengine?
Hapa ni mchamba wima? Catholic Church in China - WikipediaCorrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Unatoa amka utakunyaHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
kwahiyo utafanyaje sasa na haiwezekani tafuta kamba ujinyongeTunatamani sana wawafungie RC
huyu dogo akiwa kule kizimkazi wakiweka bajeti ya serikali kwenye kulipia watu kwenda kuhiji, huwa wanafundishwa kwamba china hakuna wakristo. na wanavyojua kumeza bila kutafuna.Hapa ni mchamba wima? Catholic Church in China - Wikipedia
Catholic Church has never supported a Muslim presidentHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Unaambiwa jumamosi HK taifa wajumbe hawaelewi walipigaje kura .yaani ni sawq na Mwanafunzi anayesaini Course Work ili hali hata module yenyewe haijuiHali hii inathibitisha kuwepo kwa mpasuko na mparaganyiko ulio wazi kabisa katika nchi hii kwa sasa
na kichwa chake kama cha kukuMsando atajinyonga
Weupe sana hao watuhuyu dogo akiwa kule kizimkazi wakiweka bajeti ya serikali kwenye kulipia watu kwenda kuhiji, huwa wanafundishwa kwamba china hakuna wakristo. na wanavyojua kumeza bila kutafuna.
Hii ndiyo solidarity sasa!
Makanisa yote yenye misa moja yatoe hifadhi misa ya pili wapige pambio hao jamaa!
Tuone watafungia makanisa mangapi!
Kama jirani yako hayupo salama,haupo salama pia!!
Acha stori za vatikan. Mleteni mhalifu Gwajima, akaripoti Polisi. Hakuna aliye juu ya sheria, kama mnamficha, nanyi ni wahalifu, mtafuatwa tu.Hata Napoleon Bonaparte alikwenda Vatican lakini alikataa kuvishwa taji la kifalme (Ufalme wa Ufaransa) na Papa. Akamnyang'anya na kujivika mwenyewe! Unaifahamu hiyo stori?
Wewe,thubutu yake huyo mungu wako wa kijaniCorrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!