Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
U Kristo ni imani ya amani sana. Imani hii ndiyo imeleta amani duniani. Ni ustaarabutaratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
Kiongozi huchukulia kama ni unyonge fulani hivi.