Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!

Lifuteni hilo kanisa Katoliki... Tena lifuteni kwa haraka!
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
We ni mngese sana. Usilitaje kanisa katoliki kipumbavu hivyo...
 
Kwahiyo wewe na matusi yako unataka kusema Kanisa Katoliki linaamini katika kutukana matusi watu waliona msimamo tofauti na wao? Basi sawa. Nimekusoma Katekista!
 
Sio kweli kiongozi kwamba hakuna kanisa limewah kufungiwa duniani,
Kanisa la makenzie kenya lilifungiwa mbona
Tujitahid kuwa wakwel na tuwe na kumbukumbu
we nadhani umetoka usingizini au umetoka washroom. tulia kijana. kilichoongelewa hapo ni kwamba dunia nzima hakuna mwenye uwezo kufungia kanisa KATOLIKI, labda uanze kufungia vatican kule italia. sasa wewe umeibukia wapi unakuja kichwakichwa hata hujui unaenda wapi aisee. kwa hiyo kanisa la makenzie ni kanisa katoliki? dah, pole.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Mudi weee Mtoto wa Shule naona unawaza mabikira 72 wenye chuchu zenye ncha kali kama za sindano
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Si rahisi kuwafungia katoliki
 
Kwa upande wa ukristo, adui ni Dkt Samia bila kupepesa na ndiyo wa kristo wote wanavyoamini! Kura hapati! Sijui nani alimdanganya. Ngoja tuone kama waislamu watampigia kura
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Utakuwa mpunga ww
 
Wamekodishwa ukumbi, hapo ni pure business.

Kwa kawaida huwa Wana litrujia tofauti sana walokole na Wakatoliki. Walokole hawaamini katika Watakatifu, kuombea mtu aliyekufa au kwenda toharani.

Wacha wakae pamoja labda kuna jambo watafundishana.
Hapo walipo wanaona shida kuita ukumbi wa Mtakatifu Augustine.
 
Huwezi fungia Kanisa katoliki ambalo lina hadi ambassador wake hapa nchini akiiwakilisha Vatican! Kufanya hivyo ni kuvunja mahusiano ya kidplomasia na Vatican! Na kitakachofuata ni maneno machache tu kutoka kwa Pope na tutakutanishwa na vikwazo kutoka kila nchi unayoijua magharibi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…