Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Corrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Kumbe wewe ni mpumbafu kanisa katoliki lipo Saud likose kuwepo china? Wakati Kuna mapadre na maaskofu kibao wachina kutokea parokia na majimbo mbali mbali huko china

Na wachina wengi tu ni wakatoliki
 
Halleluyaaaah
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Ngumu serikali wamewekewa trap na katoliki kama serikali wakiingia kichwa kichwa utakuwa ugomvi mkubwa.
 

Hali hii inathibitisha kuwepo kwa mpasuko na mparaganyiko ulio wazi kabisa katika nchi hii kwa sasa
 
Dogo, Rais wako alishakwenda Vatican kuhesabiwa enzi za Papa Francis. Kwa hiyo usilichukulie kwa wepesi Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Rwanda tu hapo wametulizwa na wakatulia......kipindi kile Tshisekedi walitaka kumtibua akawawekea msuli hadi leo wameacha mambo yao.....hao jamaa ukiwaheshimu sana wanakupanda kichwani ila ukibinya sehemu sahihi wanatulia tu
 
Kumbuka kuna waislam pia nchi hii
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😑😑😑😑!!!!
Kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…