matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,523 May 9, 2025 #521 KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US.
KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 May 10, 2025 #522 Mr Q said: Za siku nyingi kiongozi? Wewe ndie member wa kwanza kunipokea humu Way back 2011. Shukrani sana kwa kuendeleza uwepo wako hapa JF Click to expand... Hahahaaah asante sana kiongozi.
Mr Q said: Za siku nyingi kiongozi? Wewe ndie member wa kwanza kunipokea humu Way back 2011. Shukrani sana kwa kuendeleza uwepo wako hapa JF Click to expand... Hahahaaah asante sana kiongozi.
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 May 10, 2025 #523 matunduizi said: KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US. Click to expand... Duh! Mmeanza.
matunduizi said: KAka yake anadai Huyu Papa alitabiriwa na jirani yake akiwa darasa la kwanza KUWA atakuja KUWA papa, Tena papa wa kwanza kutoka US. Click to expand... Duh! Mmeanza.
K Kohelethi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 4,709 Reaction score 4,595 May 10, 2025 #524 Kindred Spirit said: "Unaweza kumkuta..." ni lazima awe na elimu ndugu yangu, na afaulu. Hakuna Padre kilaza. Click to expand... Kweli kabisa mkuu
Kindred Spirit said: "Unaweza kumkuta..." ni lazima awe na elimu ndugu yangu, na afaulu. Hakuna Padre kilaza. Click to expand... Kweli kabisa mkuu
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,523 May 10, 2025 #525 dudus said: Duh! Mmeanza. Click to expand... NI kweli