Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

"Wanapiga kura kisha karatasi huchomwa ukitoka moshi mweusi maanake hakuna mshindi"

SAYANSI KAMA SAYANSI ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Sasa ndugu yangu, hapo unashauri mchakato ungekuwaje. Huko ndo kuitwa na Mungu sasa, maana hakuna anayegombea hiyo nafasi mnachaguna tu blindly bila kampeni wala majina rasmi. Utaratibu uko poa kabisa kupata aliyeitwa na Mungu. Japo shetani naye anajipenyezaga humohumo.
 
As far as I can see it is a straightforward thing.
Wanapiga kura halafu wanaambizana baadaye,hawa ndio wamepata kura nyingi,turudi tena kupiga kura baadaye.
Mchakato haujawahi kuzidi siku nne.
 
"Wanapiga kura kisha karatasi huchomwa ukitoka moshi mweusi maanake hakuna mshindi"

SAYANSI KAMA SAYANSI ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Siyo kweli. Ni kemikali tu inayotumika, means sayansi inatumika. Lengo la huo moshi ni kutoa update ya zoezi kwa waamini duniani kote. Ukishaona moshi mweupe sikilizia kama uko karibu na kanisa katoliki, zitapigwa kengele na utaiona waumini wanakimbia kuingia humo.
 
Maandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Pope anaitwa kwa njia ya kura.
 
As far as I can see it is a straightforward thing.
Wanapiga kura halafu wanaambizana baadaye,hawa ndio wamepata kura nyingi,turudi tena kupiga kura baadaye.
Mchakato haujawahi kuzidi siku nne.
Sio siku tu, umeshawahi kukaa miezi zaidi ya mitatu
 
Sasa kama pamesemwa yanayofanyika ndani huwa ni usiri mkubwa wewe umejuaje kinachochomwa ni kemikali?
Naamini utakuwa umo ndani unashiriki kupiga kura mkuu.
 
Sasa kama pamesemwa yanayofanyika ndani huwa ni usiri mkubwa wewe umejuaje kinachochomwa ni kemikali?
Naamini utakuwa umo ndani unashiriki kupiga kura mkuu.
Hapana. Hiyo taarifa ni public knowledge kiongozi. Kila mtu anajua ni nini hupelekea hiyo rangi ya moshi na humaanisha nini.
 
As far as I can see it is a straightforward thing.
Wanapiga kura halafu wanaambizana baadaye,hawa ndio wamepata kura nyingi,turudi tena kupiga kura baadaye.
Mchakato haujawahi kuzidi siku nne.
Wanakula per diem nn kila wakipiga kura maana WANASEMA halijawahi kutokea hii Toka sijui Mwaka gani
 
Kwahiyo wote wadhambi
 
Nyeusi n tairi za magari mkuuu

Kemikali na wale wazeee wanatembea kwa mapozi wangekufa wotee
 
Ila Snoop๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 

Attachments

  • 1746713030544.jpg
    297.5 KB · Views: 21
Baada ya zoezi kukwama baada ya kura mbili asubuhi, Makardinali watarejea saa 11:30 Jioni hii kurudia zoezi
 
Imagine moshi ndo unaamua papa awe nani, moshi kama moshi,moshiiii yani moshi. Kila la kheri ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ