NI SAYANSI KAMA SAYANSIImagine moshi ndo unaamua papa awe nani, moshi kama moshi,moshiiii yani moshi. Kila la kheri ndugu zangu.
hata papa francis kura zilipigwa mara mbili ndo akapatikana.Wanakula per diem nn kila wakipiga kura maana WANASEMA halijawahi kutokea hii Toka sijui Mwaka gani
Ni kura mkuu, wanapiga kura atakayepata kura 89 ndo anakuwa papa, moshi ni kwamba kura zikitosha zinachanganya na kemikali fulani ambapo zikichomwa zitatoa moshi mweupe kutoa taarifa kwa waumini wa rc kuwa papa mpya kapatikana, zisipotosha kemikali inayotumika kuchoma kura itatoa moshi mweusi na hapo ngoma bado inakuwa mbichi.Imagine moshi ndo unaamua papa awe nani, moshi kama moshi,moshiiii yani moshi. Kila la kheri ndugu zangu.
Hahitaji maelezo...Ni kura mkuu, wanapiga kura atakayepata kura 89 ndo anakuwa papa, moshi ni kwamba kura zikitosha zinachanganya na kemikali fulani ambapo zikichomwa zitatoa moshi mweupe kutoa taarifa kwa waumini wa rc kuwa papa mpya kapatikana, zisipotosha kemikali inayotumika kuchoma kura itatoa moshi mweusi na hapo ngoma bado inakuwa mbichi.
pole mkuuHahitaji maelezo...
Wengine tuna pumu, huu moshi haufai....
Hiyo hufanyika ile awamu ya kwanza. Baada ya round kadhaa, huanza ku focus kwa wale wanaopata kura nyingi zaidi japo ni hiyari kuchagua.Sababu kubwa ugumu kuchagua Papa huwa hakuna wagombea kila kardinali aweza jipigia kura hivyo kupata theluthi mbili kuwa ngumu na uchaguzi kurudiwa
Kawaida hupewa karatasi kila kardinali aandike nani anamtaka awe Papa
Uchaguzi huu mgumu kila kardinali wengi wanajiandika wenyewe kuwa ndio wataka kuwa Papa na kuna siasa za ubara waasia wanataka papa wao,Wa Africa wanataka wao,wa Ulaya wanataka wao ,wa Marekani wanataka wao nk
Sababu makardinali wengi wa sasa ni makardinali wa dot com tofauti na wa zamani kila kardinali ànavutia kwake
Ulitaka kuwe na tume kama ya CCM au ulitaka akasimamie Bon yai?.Uchaguzi au Ubaguzi ?
Wanachozuia ni live coverage, taarifa zingine zipo kwenye website ya Vatican kwa wale waliopita. Hata mapadre wanahojiwa na kuyasema hayo, ndio maana wanatabiri kupata papa leo jioni au kesho asubuhi.Hakuna anayeruhusiwa kuingia kule na wanapiga kura za siri na wameapa kutunza siri, aliyekwambia hayo ni nani????