Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

ni kweli lakini si
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona bbc swahili wanaripoti muda huu kuwa moshi mweupe umetokea kumaanisha papa mpya amepatikana na muda mfupi ujao atatangazwa
 
Mambo yashakamilika.
Moshi mweupe ushaonekana
 

Attachments

  • Screenshot_20250508-191330_YouTube.jpg
    312.6 KB · Views: 15
Hatimae papa mpya apatiaka hii ni baada ya mwoshi mweupe kuokana kwenye kanisa la Mtakatifu Petro huko vatican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…