Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili


Eti wanakufa kwa hofu. Asante mtumishi kwa kupasua mbarika.

Watu wanakufa kwa Corona.

Heko TEC kwa kupaza sauti kwa hakika nyie si kama wale.

Changamoto kubwa inabakia:

 
Eti wanakufa kwa hofu. Asante mtumishi kwa kupasua mbarika.

Watu wanakufa kwa Corona.

Heko TEC kwa kupaza sauti kwa hakika nyie si kama wale.

Changamoto kubwa inabakia:

View attachment 1716666
Waambie wafunge makanisa yao wameshamuuzi Mungu ndiyo maana wanakufa kwa wingi sana kama ni kweli.
 
Wewe unafikiri kujiita Mkatoliki kuna halalisha Ukatoliki wako? Hakuna haja ya kuangaika na uongo wako mwingi uliojaa kwenye sentensi zako ikiwemo eti "Hakuna watu wazinzi kama mapadre" kwa takwimu zipi? Wewe huna Ukatoliki wowote otherwise utakuwa Mkatoliki mfu! Huu Ukatoliki huujui!
 
Hizi ndio satanic comments! Nenda katubu ...
 
Kwani uongo mapadre siyo wazinzi?
 
Kwahiyo baba askofu anashauri tuvae barakoa ngapi kwa siku!!!!!
 
Pale Vatcan wamekufa wangapi?
Marekani walikufa sana kutokana na uzembe na hadaa za bwana Trump bwana asiyeambilika.Kwasasa vifo na usambaaji vimepungua kwa hatua madhubuti anazofanya Biden.
 



Uko vizuri jombi!
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]

..Pole sana kwa msiba. I can not imagine what you are going thru'. MUNGU awape faraja wewe na familia yenu.
 
Kwa sababu ya kuwa wakwelindiyo maana unajua hiyo nusu milioni. Kwwtu hapa, tumeathirika zaidi kupita nchi zote za Africa Mashariki, lakini hakuna mwenye idadi rasmi! Kwa sababu yumeamua kuishi kimbumbumbu.
Kwa takwimu zipi mpaka unasema tumeathirika zaidi? Maana umesema hatuna takwimu
 
Tanzania kwa uhakika tumepoteza watu maelfu kwa corona. Na hakuna ambaye hajawahi kusikia kifo cha mgonjwa wa corona, mtu anayemfahami.

Wanaojua hesabu za uwiano, wanaweza kuwa na makadirio mazuri juu ya waliokufa kwa corona.
Hao maelfu waliokufa wanaliwa?
 
Waambie hao viongozi kama wako serious wafunge misa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…