Uhalali upi? Wakati watz wamempa kura za nguvu na wanamkubali. Mbona hukuchukua fomu na wewe ugombee urais ili tujue kama unakubarika TZAmiri Jeshi asiye na uhalali!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhalali upi? Wakati watz wamempa kura za nguvu na wanamkubali. Mbona hukuchukua fomu na wewe ugombee urais ili tujue kama unakubarika TZAmiri Jeshi asiye na uhalali!!!!
Anzia kuhesabu kwenye ukoo wenu wamekufa wangapi na corona?Marekani nusu milioni, Tanzania wangapi? Ukute milioni, robo milioni au nusu milioni!! Nani anajua?
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
Hakuna kipimo cha korona, nitajuaje?Anzia kuhesabu kwenye ukoo wenu wamekufa wangapi na corona?
Waambie wafunge makanisa yao wameshamuuzi Mungu ndiyo maana wanakufa kwa wingi sana kama ni kweli.Eti wanakufa kwa hofu. Asante mtumishi kwa kupasua mbarika.
Watu wanakufa kwa Corona.
Heko TEC kwa kupaza sauti kwa hakika nyie si kama wale.
Changamoto kubwa inabakia:
View attachment 1716666
Hesabu walikufa tu kwa muda wa miezi miwiliHakuna kipimo cha korona, nitajuaje?
Wewe unafikiri kujiita Mkatoliki kuna halalisha Ukatoliki wako? Hakuna haja ya kuangaika na uongo wako mwingi uliojaa kwenye sentensi zako ikiwemo eti "Hakuna watu wazinzi kama mapadre" kwa takwimu zipi? Wewe huna Ukatoliki wowote otherwise utakuwa Mkatoliki mfu! Huu Ukatoliki huujui!Mimi ni mkatoriki lakini inafikia wakati tuuseme ukweli. Viongozi hawa wanafanya siasa badala ya dini. Kkama wanaona kuna corona si wafunge makanisa yao? Hakuna watu wazinzi kama mapadre na wengi wanakufa na ukimwi kila uchao. Namshangaa sana katibu wa baraza la maaskofu anajifanya hamnazo na kuleta maneno ya kichichezi ilihaki anafahamu kabisa anadanganya watu. Hakuna mtu ambaye hatakufa na hakuna ajuae siju wala saa. Kama wanaogopa kifo kwa nini wanafanya uzinifu? WATUACHE KABISA NA WAENDELEE NA SIASA ZAO. Yule boss wake yeye hana jipya kesi yake ni ya ukabila wala haihitaji kujiuliza maswali mengi maana alitamani mbowe awe Rais. Huyu yeye ni mpuuzi tu na kama ataendelea tutaweka mambo yake na watoto wake alionao mtaani na wengine wanalelewa na baba wasio wa kwao.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hizi ndio satanic comments! Nenda katubu ...Roma kwenyewe walikufa mapadre wangapi? Why do they make a deal inapokuja hapa Tanzania?
Blame game a satanic character...Kanisa linatakiwa kuleta tumaini, upendo na mshikamano siyo kwa kumshambulia mkuu wa nchi hadharani kama hivi? Huyo ni nembo ya taifa letu ni amiri jeshi mkuu...You have to act responsibly!
Kwani uongo mapadre siyo wazinzi?Wewe unafikiri kujiita Mkatoliki kuna halalisha Ukatoliki wako? Hakuna haja ya kuangaika na uongo wako mwingi uliojaa kwenye sentensi zako ikiwemo eti "Hakuna watu wazinzi kama mapadre" kwa takwimu zipi? Wewe huna Ukatoliki wowote otherwise utakuwa Mkatoliki mfu! Huu Ukatoliki huujui!
Marekani walikufa sana kutokana na uzembe na hadaa za bwana Trump bwana asiyeambilika.Kwasasa vifo na usambaaji vimepungua kwa hatua madhubuti anazofanya Biden.Pale Vatcan wamekufa wangapi?
Waambie wafunge makanisa yao wameshamuuzi Mungu ndiyo maana wanakufa kwa wingi sana kama ni kweli.
Mimi ni mkatoriki lakini inafikia wakati tuuseme ukweli. Viongozi hawa wanafanya siasa badala ya dini. Kkama wanaona kuna corona si wafunge makanisa yao? Hakuna watu wazinzi kama mapadre na wengi wanakufa na ukimwi kila uchao. Namshangaa sana katibu wa baraza la maaskofu anajifanya hamnazo na kuleta maneno ya kichichezi ilihaki anafahamu kabisa anadanganya watu. Hakuna mtu ambaye hatakufa na hakuna ajuae siju wala saa. Kama wanaogopa kifo kwa nini wanafanya uzinifu? WATUACHE KABISA NA WAENDELEE NA SIASA ZAO. Yule boss wake yeye hana jipya kesi yake ni ya ukabila wala haihitaji kujiuliza maswali mengi maana alitamani mbowe awe Rais. Huyu yeye ni mpuuzi tu na kama ataendelea tutaweka mambo yake na watoto wake alionao mtaani na wengine wanalelewa na baba wasio wa kwao.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Awamu hii mtakoma kama hata Beberu lenu Amsterdam limekoma ubishi.
Awamu hii mtakoma kama hata Beberu lenu Amsterdam limekoma ubishi.
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Kwa takwimu zipi mpaka unasema tumeathirika zaidi? Maana umesema hatuna takwimuKwa sababu ya kuwa wakwelindiyo maana unajua hiyo nusu milioni. Kwwtu hapa, tumeathirika zaidi kupita nchi zote za Africa Mashariki, lakini hakuna mwenye idadi rasmi! Kwa sababu yumeamua kuishi kimbumbumbu.
Hao maelfu waliokufa wanaliwa?Tanzania kwa uhakika tumepoteza watu maelfu kwa corona. Na hakuna ambaye hajawahi kusikia kifo cha mgonjwa wa corona, mtu anayemfahami.
Wanaojua hesabu za uwiano, wanaweza kuwa na makadirio mazuri juu ya waliokufa kwa corona.
Waambie hao viongozi kama wako serious wafunge misaNdani ya Basi kila abiria sasa wanaanza kuongea lugha moja ila Dereva kanyoosha goti wala haangalii nyuma sasa Viongozi wa Dini wanaomba kushuka mwisho atabaki Dereva na konda wake na baadhi ya Mashehe wa bakwata wa kwenda kufa nao
Ogopa sana Dereva aliyedhamiria kuingia korongoni na abiria wake.